Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Acha kauli za matusi mkuu, ajali haina kinga, hata ukiwakataza ziada bado wanaenda shule kwa gari dereva wao anaweza kuendesha vizuri lakini lori likawapamia, hata ukuta waweza kuwaangukia tu....

Tumshukuru Mungu kwa yote
Akil za kimaskin,..et ajal haina kinga.
 
15a803d043e16602409fd08cbfac3568.jpg
R.I.P.ALL
 
Kiukweli nimeumia sana jamani[emoji24][emoji24]
Sina la la kusema zaidi ya kuwaombea/kufanya ibaada
 
dereva huyu jamani
Uzembe wa dereva,af et mtu anakuja ooh ajal haina kinga,us..nge kweli,..ajali zna kinga,mbona kuna nchi ajali ziko minimum had raha,..y wanaweza,..si miujiza wala mapenz ya mungu.
 
Kama kuna uzembe ni adhab kali,af hiz shule bas tuu,yan nalipa mil2 kwa mwaka primary af mniwekee mwanangu kwenye gar imejaa namna hii,akat hela ya transport nalipa,ni ajali ila kama kuna uzembe anyhow,lazma wawajibishwe,china kule tunanyonga uzembe kama huu...asee idad ni kubwa asee,sio kawaida,lazma sheria ionyeshe makucha hapa,hatutak us...nge kabsaa
Usipaniki mkuu!
Jaribuni basi hata kufikiria kidogo.
Hao watoto ni wa darasa la saba na maumbo yao sio makubwa sana...
Walikuwepo kama 38 hivi na kwa Costa hiyo ni level ya kawaida kabisa kwa wanafunzi.

BTW wingi wao sio chanzo cha ajali...
 
Ajali ni ajali,uwe mwenyewe au kundi. Kinachotakiwa ni kumwomba Mungu tu. Kila mtu ataondoka kwa njia yake,uwe kwenye gari au la.

Mwenyezi Mungu awape faraja wafiwa na majeruhi
Fikra za kimaskini,..hakuna cha ajal ni ajali,uzembe huleta ajali period..na hyo shule watalipa nakwambia,..mnasafirisha watoto mmewajaza hivo na spid kal na mvua hiz?af mseme ni mapenz ya mungu,..walah tunakula sahan moja,mzaz nilipe ada mil2 ,na transport nilipe af mjaze watoto na bus bov hlo lina fail break,
 
Walimu Acheni tamaa na wakuu wa shule huko ni kujitafutia pesa haramu magari mabovu c ajabu hata. Vibari hamna Fuatili saana hilo Unajua ilikuwa ni tamaa YA pesa je kwenye kalenda yao YA shule hiyo ziara ipo?
KAMATI YA shule Afsa Elimu wilaya mkoa wanajua feki tupu ndio Maana coster watu 25lakinizaidi YA 35Sumatra kibali kipo? Njiani trafic hawapo kujaza kote huko
Acha hizo wewe,hayo umeyaona kwa kuwa ajali imetokea ,lakini shule ilipofaulisha watoto haukuuliza hayo,waache watoto wapumzike kwa amani huko waliko na ukae ukijua kuwa kila kifo kinasababu yake ,hata wewe hapo ulipo hata kama umejipumzisha kitandani kifo kinaweza kukuchukua muda wowote na lazima kutakuwa na sababu ya hicho kifo.Alafu nilimuona kwenye TV Afisa elimu anasema hakuwa na taarifa ya hiyo ziara ya hao wanafunzi tena anasikitika sasa nikajuiliza kama wangempa taarifa hiyo ajali isingetokea?.RIP watoto wetu.
 
MUNGU ni Mwema Kila Wakati...

Pumzikeni kwa amani watoto na wadogo zetu... Amina
 
Usipaniki mkuu!
Jaribuni basi hata kufikiria kidogo.
Hao watoto ni wa darasa la saba na maumbo yao sio makubwa sana...
Walikuwepo kama 38 hivi na kwa Costa hiyo ni level ya kawaida kabisa kwa wanafunzi.

BTW wingi wao sio chanzo cha ajali...

Duh

Ulichoandika hapana aiseeeeee, ni nini hiki...

Sheria gani inasema juu ya maumbile ya watu kukaa kwenye vehicle?
 
Fikra za kimaskini,..hakuna cha ajal ni ajali,uzembe huleta ajali period..na hyo shule watalipa nakwambia,..mnasafirisha watoto mmewajaza hivo na spid kal na mvua hiz?af mseme ni mapenz ya mungu,..walah tunakula sahan moja,mzaz nilipe ada mil2 ,na transport nilipe af mjaze watoto na bus bov hlo lina fail break,
Unaweza kutoa maana ya neno ajali?
 
Hivi kwa nini unampigia Shetani kifua kiasi hicho,au ni agent wake?Mkuu Mungu hawezi kufanya upuuzi wa namna hii.God is so loving,infact God is love.It's only the Devil who can do this nonsense.Kumbuka kwamba Mungu ndiye aliyetuumba kwa hiyo hana sababu yeyote ya kutuvizia na kutuua so mercilessly.He can take your soul or my soul when you are asleep,it is his after all.On the other hand,Satan does not own our souls kwa hiyo lazima atuvizie.Be very careful mkuu,kusema kwamba Mungu ndiye aliyeamua wafe namna hii while it is not true is an abomination.

Acha ujinga wewe,,,kwaiyo shetani ndio anapanga binadamu aishi kwa umri upi, ,,,,M/mungu anasema haijui nafsi yoyote itafia nchi gani,,wala aongezewi umri mwenye umri mfupi, ,wala hapunguziwi umri mwenye umri mrefu, ,, na kila nafsi itaonja umauti;;, kawaida binadamu wote tunakichukia kifo,,,ila tambua kifo kinapangwa na Mungu na kimeandikwa na Mungu,,,
ukiwa na umri mfupi hakuna mjadala lazima ufe ktk umri uho uliopangiwa na Mungu,,, na ukiwa na umri mrefu hata kama utarogwa vipi au shetani atakufanyia HILA zipi, ,au itokee ajali ya aina yoyote,,,basi hutokufa hadi ufikie umri uliopangiwa na Mungu,,,

hujasikia katika iyo ajali kuna mtoto kanusurika mkuu?? Kingine hakuna uchawi wala shetani wakumuua binadamu ambae umri wake au uhai wake wakufa haujafika... kwaiyo bosi hao wanetu waliokufa ni ahadi yao ilifika tu ya kufariki ,,,,,,Mungu awaondolee adhabu ya kabri,,,R.I.p
 
Daaah!! Ni zaid ya kusikitisha na kuhuzunisha ila yote tunakubali kuwa kazi ya Mungu haina makosa,,,
Mungu tunaomba uwapokee watoto wako na uwalaze mahali pema peponi,,ameeen
 
Unaweza kutoa maana ya neno ajali?
Msi justify ujinga,..unalala bila net au unakula mzigo bila kinga ukifa unasema ajali.,,unaendesha gar huna vibal,gar mbov,haina service,huna uzoef,..hata akili ya kujua mvua imenyesha kwenye kona punguza mwendo huna,umejaza watoto 50 kwenye bus,..af unasema ajali?hyo shule tunakula nayo sahan 1,china unanyongwa uzembe kama huo
 
Tukio kama hili lingetokea to any developed country bendera zingekuwa nusu mlingoti ... Ila sisi black tupo tupo tu
 
Back
Top Bottom