Ndushi wa Ndushi
New Member
- Apr 30, 2017
- 4
- 3
Dah!!! Pole sana mliopatwa na huu msiba.Japo ni wetu sote kama watanzania, ila wapo walioguswa moja kwa moja.Mungu awatie nguvu katika wakati huu mgumu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ukiona mtu anamsingizia mungu kwenye kifo,pima uwezo wake pia wa kufikiri,..hakunaga mapenz ya mungu,mnamsingizia sana munguHivi kwa nini unampigia Shetani kifua kiasi hicho,au ni agent wake?Mkuu Mungu hawezi kufanya upuuzi wa namna hii.God is so loving,infact God is love.It's only the Devil who can do this nonsense.Kumbuka kwamba Mungu ndiye aliyetuumba kwa hiyo hana sababu yeyote ya kutuvizia na kutuua so mercilessly.He can take your soul or my soul when you are asleep,it is his after all.On the other hand,Satan does not own our souls kwa hiyo lazima atuvizie.
Lastly,be very careful mkuu,kusema kwamba Mungu ndiye aliyeamua wafe namna hii while it is not true is an abomination.
Kwa hyo nchi zenye life span ya watu wao miaka 80 na nyingne zenye miaka chin ya 40 utasema ni mungu ametaka hivyo? kama unaamin hilo asee,rud shulen.Acha ujinga wewe,,,kwaiyo shetani ndio anapanga binadamu aishi kwa umri upi, ,,,,M/mungu anasema haijui nafsi yoyote itafia nchi gani,,wala aongezewi umri mwenye umri mfupi, ,wala hapunguziwi umri mwenye umri mrefu, ,, na kila nafsi itaonja umauti;;, kawaida binadamu wote tunakichukia kifo,,,ila tambua kifo kinapangwa na Mungu na kimeandikwa na Mungu,,,
ukiwa na umri mfupi hakuna mjadala lazima ufe ktk umri uho uliopangiwa na Mungu,,, na ukiwa na umri mrefu hata kama utarogwa vipi au shetani atakufanyia HILA zipi, ,au itokee ajali ya aina yoyote,,,basi hutokufa hadi ufikie umri uliopangiwa na Mungu,,,
hujasikia katika iyo ajali kuna mtoto kanusurika mkuu?? Kingine hakuna uchawi wala shetani wakumuua binadamu ambae umri wake au uhai wake wakufa haujafika... kwaiyo bosi hao wanetu waliokufa ni ahadi yao ilifika tu ya kufariki ,,,,,,Mungu awaondolee adhabu ya kabri,,,R.I.p
Kwa hyo nchi zenye life span ya watu wao miaka 80 na nyingne zenye miaka chin ya 40 utasema ni mungu ametaka hivyo? kama unaamin hilo asee,rud shulen.
Siko tayari kubishana na mtu mwenye imani kama yako mkuu,uko huru kuamini unachotaka, ila nilishosema ndio ukweli.Acha ujinga wewe,,,kwaiyo shetani ndio anapanga binadamu aishi kwa umri upi, ,,,,M/mungu anasema haijui nafsi yoyote itafia nchi gani,,wala aongezewi umri mwenye umri mfupi, ,wala hapunguziwi umri mwenye umri mrefu, ,, na kila nafsi itaonja umauti;;, kawaida binadamu wote tunakichukia kifo,,,ila tambua kifo kinapangwa na Mungu na kimeandikwa na Mungu,,,
ukiwa na umri mfupi hakuna mjadala lazima ufe ktk umri uho uliopangiwa na Mungu,,, na ukiwa na umri mrefu hata kama utarogwa vipi au shetani atakufanyia HILA zipi, ,au itokee ajali ya aina yoyote,,,basi hutokufa hadi ufikie umri uliopangiwa na Mungu,,,
hujasikia katika iyo ajali kuna mtoto kanusurika mkuu?? Kingine hakuna uchawi wala shetani wakumuua binadamu ambae umri wake au uhai wake wakufa haujafika... kwaiyo bosi hao wanetu waliokufa ni ahadi yao ilifika tu ya kufariki ,,,,,,Mungu awaondolee adhabu ya kabri,,,R.I.p
Siko tayari kubishana na mtu mwenye imani kama yako mkuu,uko huru kuamini unachotaka, ila nilishosema ndio ukweli.
Kiranga anasema hata huyo mungu hayupo.Sawa boss,,,kwaiyo anaekufa kwenye umri mdogo shetani anahusika kutoa roho????
,,ila akifa kwenye umri mkubwa huyo ndio kafa kifo cha halali kabisa cha kutolewa roho na Mungu mwenyewe boss
Hata nilichoandika hujaelewa,..kwa mara nyingne tena,..nenda shuleBado nipo shuleni mkuu,,hujui elimu haina mwisho,,,,kwaiyo izo nchi wananchi wake wote wanaishi miaka 80+,,,,,,kwaiyo mtu akifa na umri mkubwa Mungu ndio kahusika kutoa roho,,,ila akifa chini ya umri mdogo shetani anahusika,
dah ndio maana mimi watoto wakinambiaga maswala ya kwenda ziara nawakataliaga kwa sabab ya vitu kama hivi ila kwakuwa wao hawajui waniita mkoloni yan inafikia hatua wakiwa wananiulizia wanasema"mama,mzee mkuda yupo ndani au bado hajaludi"........dah maumiv ya kupoteza mtoto ni mazito jaman mi yashanikuta !
yan mimi watoto wakinambiaga haya mambo ya ziara nawauliza mchango ni tsh ngap wakishanambia nawapa hiyo pesa nawawambia waituumie kwa kununua kitu au waile ila sio kwenda huko trip kuna siku mtoto alijibu jibu flan sitasahau,alinijibu"baba wewe sio mzee ila mbona una mambo ya kikoloni hivo,ungekuwa unatukataza bila kutupa hizi pesa ambazo zingekuwa ghalama ya trip tungehisi m'bahili"
alafu ilipotokea ajal hapo Rotia ndio pananikumbusha tukio nalojitahidi kulisahau...miaka ming sana imepita,ilikuwa nimetoka pale karatu high school kumchek mtoto wa brother wangu nkapokea simu nikiwa eneo hilo toka kwa wife ambae alikuwa pale mlala hospital ya babati akiwa analia tuu mda huo mtoto alikuwa kalazwa so nkaunganisha dotS nkajua tayal mtoto sina..alikuwa wa kiume nililia sana japo machoz hayakuonekana,nilimpata nikiwa na umri wa 17yrs yan nlikuwa nkikaaa nae watuwalihis mdogo wangu
ushaur wangu kwa wazaz na ndgu waliopoteza watotot wasilie hadi kumkosea mungu maana yatawakuta yaliyonikuta,baada ya kifo cha yule mtoto nilikufulu sana mungu kwann kachukua kidume changu matokeo yake mpaka leo kila mimba ni dume na nishachepuka japo kutafuta wa kumpa jina la mama angu napo naambulia madume!!
WAPUMZIKE KWA AMAN HAO WATOTO.
Ule sahani moja NA Nani wee punguani ajali imetokea sababu hazijatolewa kitaalamu wewe unaleta ripoti yakoMsi justify ujinga,..unalala bila net au unakula mzigo bila kinga ukifa unasema ajali.,,unaendesha gar huna vibal,gar mbov,haina service,huna uzoef,..hata akili ya kujua mvua imenyesha kwenye kona punguza mwendo huna,umejaza watoto 50 kwenye bus,..af unasema ajali?hyo shule tunakula nayo sahan 1,china unanyongwa uzembe kama huo