Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Dah!!! Pole sana mliopatwa na huu msiba.Japo ni wetu sote kama watanzania, ila wapo walioguswa moja kwa moja.Mungu awatie nguvu katika wakati huu mgumu.
 
Mkuu ukiona mtu anamsingizia mungu kwenye kifo,pima uwezo wake pia wa kufikiri,..hakunaga mapenz ya mungu,mnamsingizia sana mungu
 
Kwa hyo nchi zenye life span ya watu wao miaka 80 na nyingne zenye miaka chin ya 40 utasema ni mungu ametaka hivyo? kama unaamin hilo asee,rud shulen.
 
Hizi ziara kwa wanafunzi hasa wa shule private ni kitu cha kawaida, huwa tunawakuta Mbuga ya Serengeti, Zanzibar, kwenye viwanja vya ndege watoto wakijifunza. Sasa vibali vinahusikaje!!? Naona kwa mbali mkurupuko wa kufuta hizo ziara kumfurahisha mkuu.
 
Kwa hyo nchi zenye life span ya watu wao miaka 80 na nyingne zenye miaka chin ya 40 utasema ni mungu ametaka hivyo? kama unaamin hilo asee,rud shulen.

Bado nipo shuleni mkuu,,hujui elimu haina mwisho,,,,kwaiyo izo nchi wananchi wake wote wanaishi miaka 80+,,,,,,kwaiyo mtu akifa na umri mkubwa Mungu ndio kahusika kutoa roho,,,ila akifa chini ya umri mdogo shetani anahusika,
 
Siko tayari kubishana na mtu mwenye imani kama yako mkuu,uko huru kuamini unachotaka, ila nilishosema ndio ukweli.
 
Siko tayari kubishana na mtu mwenye imani kama yako mkuu,uko huru kuamini unachotaka, ila nilishosema ndio ukweli.

Sawa boss,,,kwaiyo anaekufa kwenye umri mdogo shetani anahusika kutoa roho????
,,ila akifa kwenye umri mkubwa huyo ndio kafa kifo cha halali kabisa cha kutolewa roho na Mungu mwenyewe,sindio boss
 
Sawa boss,,,kwaiyo anaekufa kwenye umri mdogo shetani anahusika kutoa roho????
,,ila akifa kwenye umri mkubwa huyo ndio kafa kifo cha halali kabisa cha kutolewa roho na Mungu mwenyewe boss
Kiranga anasema hata huyo mungu hayupo.
 
Uchunguzi wa kina lazima ufanyike, na kama kuna uzembe wahusika wafikishwe kwenye vyombo vya dola, ukitizama picha ya awali watoto hawakupenda ile safari, inawezekana walijua gari ni bovu au hali ya hewa haikuruhusu
 
Bado nipo shuleni mkuu,,hujui elimu haina mwisho,,,,kwaiyo izo nchi wananchi wake wote wanaishi miaka 80+,,,,,,kwaiyo mtu akifa na umri mkubwa Mungu ndio kahusika kutoa roho,,,ila akifa chini ya umri mdogo shetani anahusika,
Hata nilichoandika hujaelewa,..kwa mara nyingne tena,..nenda shule
 
Ninaamini anayetuepusha na haya majanga ni Mungu tu. Tupange mipango yetu na kuchukua tahadhari in the end Mungu ndiye anayetuepusha.

Tarehe 25 mwezi huu nilishuhudia Mtoto wa shule ya akigongwa na dereva aliyeamua ku overtake kushoto. Mtoto alikuwa kusimama pembeni kabisa ya barabara na huyo mpuuzi aliyekuwa na haraka kuliko wote akagonga. Huyo Mtoto alifia hapo hapo.

Wazazi wengi ninaowafahamu wamejiapiza no more school trips, najiuliza mbona sio school bus kwenda shule, mbona sio safari za kifamilia, mbona sio kupanda daladala?

Cha muhimu tuchukue tahadhari na tumwombe Mungu atupe ulinzi. Risks ni nyingi mno
 
Ule sahani moja NA Nani wee punguani ajali imetokea sababu hazijatolewa kitaalamu wewe unaleta ripoti yako
 
REST IN PEACE,Mwenyezi Mungu awape moyo wa subira wote walioguswa na msiba huu mzito..
POLE WAZAZI WA WATOTO WALIOFARIKI NA WALIOJERUHIWA..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…