Ajali ya Happy Nation yaua Hakimu na mume wake Bukoba

Aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!! kweli TOMORROW IS UKNOWN.. hawa nawafahamu kabisa, na hata walikuwa nampango wa kunipa kazi!! maskini watoto! wameacha watoto watatu na mmoja bado mchanga.....
 
Ooh hii ni sad news.

Mungu aijalie familia utulivu na subira
 
Bodaboda ni mojawapo ya usafiri wa hovyo sana.
 
Mtu mwingine akikamata chombo cha moto kuendesha utadhani kakatwa kichwa!
Sasa kama huyo boda alikuwa anataka apite katikati yetu wakati napishana na gari jingine,alivyokosa nafasi akaamua ashike breki wa nyuma kwa nguvu
 
Na hela ya matumizi wampa?
 
Na hela ya matumizi wampa?
Mwanzo nilikuwa nampa ila nilivyoona siku zinakuwa nyingi nikasitisha,na anataka akipona kabisa nimlipe,nataka akipona nimkumbushe kuwa "unakumbuka ajari ulisababisha mwenyewe" sahv nishaona ni bora kwenda polisi tu au hata mahakamani
 
Pole sana mkuu,hio situation ilishanitokea ukiangalia boda alikua na makosa,ila niligoma kutemgeneza pikipiki
 

Dah pole
 
Hiyo tafsiri ya sheria. Usidhani kila mtu ni bwege humu kama wewe.
Acha kujificha kwenye kichaka cha sheria we bwege. Nimekuuliza wewe kama wewe kwa mtazamo wako na si kwa mtazamo wa sheria. Tuna sheria ngapi kandamizi zinapigiwa kelele kila uchwao? Nani hajui tuna sheria nyingi za kibwege zinazohitaji amendments. Usiishi kwa kukariri kwa kilichoandaliwa na kuletwa mbele yako ukakimeza kama kilivyo bila ku digest mambo. Kichwa maji!

Halafu sorry we ni Me au ke? Jina lako linanikumbusha demu wangu wa miaka ya 2000 Aika, tulikua tunapendana sana toto lilikua lina mzigo, macho ya kurembua..mtoto alikua anajua mahaba sana. Daah Aika wangu!
 
Mwanzo nilikuwa nampa ila nilivyoona siku zinakuwa nyingi nikasitisha,na anataka akipona kabisa nimlipe,nataka akipona nimkumbushe kuwa "unakumbuka ajari ulisababisha mwenyewe" sahv nishaona ni bora kwenda polisi tu au hata mahakamani
Aisee hapo kama anakukomoa eti,



Ni muda gani sasa?
 
KISA HAKIMU NDO DEREVA KASHIKWA MBNA WENGNE HATUSKII DEREVA KASHIKWA
 
Mbona pikipiki ina namba za gari?

Mungu awapumzishe kwa amani

Kwa umri huo kama wana watoto bado watakuwa tegemezi.... Nawaonea huruma sana....
Ni kwel ila mahakimu huwa na dhambi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…