Ajali ya Kariakoo imenifanya niwaze sana wanayopitia Wapalestina Gaza

Ajali ya Kariakoo imenifanya niwaze sana wanayopitia Wapalestina Gaza

Imagine on daily basis, magorofa yanaangushwa tena intentionally at the same time hakuna maji hakuna umeme hakuna na chakula pia shida.

So much suffering in this world.

Umeona ee, tena umeniwahi, nilikua nataka nianzishe mada.

Wayahudi weusi wanafurahia madhila wanayopitia ndugu zetu waislamu, sasa kilichotokea kariakoo mwenye akili timamu atajifunza kitu, na ni tukio dogo sana ukilinganisha na matukio yanayotokea Gaza.
 
“Lile ni eneo la wayahudi, wamepewa na Mungu wapalestina wamevamia”
Kwahiyo mungu ameshindwa yeye kuwatoa hapo Wapelestina kaamua kuacha Waisrael aliowapa wateseke kunyang'anyana hiyo zawadi?.

Basi huyo atakuwa ni mungu wa ajabu sana anayewaogopa Wapalestina. Niko sure huyo hawezi kuwa yule Mungu aliyeiteketeza Gomora au aliyeleta garika.
 
Hatari sana.lakini sisi ni uzembe wa serikali katika uokoaji.Kamati ya maafa Huwa inatafuna pesa tu Kila mwaka lakini uharaka wa kutekeleza majukumu katika uokoaji ni zero. Hii ajari ya kariakoo hakustahili hata mtu mmoja kufariki.
Watu tunapenda kujifanya wajuaji sana wa Mambo, ukiulizwa kwa nini unasema hakistahili kufanya hata mmoja jibu hauna.

Kuna watu watafariki kwa hofu, hasa wenye pressure wale, kuna watu wataangukiwa na sehemu ya majengo na kufa hapo hapo.
 
Watu wamefariki Kwa sababu wamechelewa kuokolewa fullstop.yaani jengo halifiki hata ghorofa 20 mnaokoa siku Tano?India Kuna jengo liliporomoka la zaidi ya ghorofa 17 na wakaokolewa wote.
 
Ndio uwezo wako wa kufikiria kuwaza na kuhoji umeishia hapa kuna watu inatakiwa kwa comment tu mufutiwe I'd zenu na moderate mnashusha hadhi ya jf
Wewe mwenye akili pia umeshindwa kuniongezea uwezo wa kufikiri mkuu.

Ni kwanini tuhusianishe Kariakoo na Gaza wakati huu?
 
Hatari sana.lakini sisi ni uzembe wa serikali katika uokoaji.Kamati ya maafa Huwa inatafuna pesa tu Kila mwaka lakini uharaka wa kutekeleza majukumu katika uokoaji ni zero. Hii ajari ya kariakoo hakustahili hata mtu mmoja kufariki.
Mkiwa kwenye keyboard mnaongea sana,jengo linapoanguka kuna impact ya kuangukiwa na jengo lenyewe hacha waliofukiwa na vifusi. Ajali kama hz hata nchi zilizoendelea zikitokea zinaenda na watu.
 
Back
Top Bottom