Ajali ya Kimara Stop Over kumbe kaka yangu naye alikuwepo!

Pole sana Sis
 
Pole sana Mkuu. Apumzike kwa amani.
 
Pole sana, ni sehemu ya maisha ya mwanadamu, ndiyo hivyo imeshatokea.
 
Ni wazi alikuwa mpita njia, pole.
 
Pole sana
 
Ile barabara na kituo ndio njia ya uelekeo kazini.
Akajikuta mmoja wa wahanga bila kutarajia
Sitamuona tena
Waliosema hakuna ajuae kesho yake hawakukosea😭😭😭😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…