Ajali ya Kimara Stop Over kumbe kaka yangu naye alikuwepo!

Ajali ya Kimara Stop Over kumbe kaka yangu naye alikuwepo!

Siku tatu hizi hajarudi anapoishi,wamemtafuta simu hapatikani,kazini kwake nao hawampati
Mwisho akakutwa mortuary hafai
Aliopolewa akiwa tayari kaenda

Unajua nlivopata taarifa ya Ile ajali mida ya asubuhi nlishinda siku yote najiskia hatia.mpaka najiuliza kwanini sipati jibu.najiskia vibaya tu na uzito ndani yangu

Tumekua wote,tumecheza wote,tumekula wote,moments nyingi tumeshea tukiwa karibu
Tabasamu lake,ni mtu asiejua kukasirika labda awe pissed off Kwa sana
Mizaha na utani wake.30 good years tupo wote.now mwendo kaumaliza

Mtu mnaongea mnacheka mda wote, anakwambia baadae basi kumbe ndo kwaheri.
Hakujua Nini kitatokea usiku Ule,hakuna aliejua
Ile barabara na kituo ndio njia ya uelekeo kazini.
Akajikuta mmoja wa wahanga bila kutarajia
Sitamuona tena
Waliosema hakuna ajuae kesho yake hawakukosea

Ushauri:ishini Kwa upendo sana guys,kuwa chanzo Cha furaha na tabasamu Kwa wote unaokutana nao,
Usimdharau mtu yeyote
Alienacho asie nacho wote wape heshima.
Usijivune
Usipungukiwe upendo na usimsahau Mwenyezi Mungu.

Moyo wangu unauma
Dah,wamekufa kifo cha maumivu makali sana, Mungu awarehemu wote inshaallah
 
Pole sana ndugu yangu, Mwenyezi Mungu amjlie pumziko la amani, poleni sana familia na wote.

Asante sana kwa ujumbe wako hapo mwishoni.

Yote ya yote tunamshukuru mwenyezi Mungu kwa maisha na yote anayo tujalia na anao tujalia kukutana nao.
 
Sorry swali Kwa mtoa mada, sawa ni njia ya kwenda kazini, Kwa muda ule atakuwa alikuwa anarudi home? Because ilikuwa saa sita usiku. I don't get it.
 
Sorry swali Kwa mtoa mada, sawa ni njia ya kwenda kazini, Kwa muda ule atakuwa alikuwa anarudi home? Because ilikuwa saa sita usiku. I don't get it.
Alikua night shift.ndio mda wa kuingia
 
Nimeipata hii taarifa, nabishana na watu juzi serikali inasema wamekufa watatu tu, watu wananiambia wamekufa wengi, leo napata taarifa mtu wangu wa karibu kabisa amefariki,Hafai niwakumzika kesho mapema. Nimeumia sana. Nikasema ajali niliyoiona yakupita kumbe imepita na vijana wadogo kabisa wenye ndoto zao. Pole sana na Mungu watangulie vijana wote waliopoteza maisha.
Hivi hii serikali kwanini inapenda kuficha ficha kila kitu!? Sio bure tumelaaniwa labda
 
Poleni nyote mlio poteza wapendwa wenu katika ajali ile. Ndugu zetu hao hawakutakiwa wafe kifo kibaya kile cha kukandamizwa na container. Serikali inatakiwa ilaumiwe, watu tumeiomba ijengwe barabara maalumu kwa kupitisha malori ya mizigo yanayo peleka mizigo bandarini na kutoa. Barabara hiyo maalumu ianzie maeneo ya Mlandizi huko. Ila wao wametia pamba masikio yao.
 
kumbe una uelewa finyu, umesikia mkuu! Hapo ulipo kwa sasaivi pia panaweza kuwa eneo la tukio lakuondoka na roho yako na ikatrend na watu wakijiuliza ilikuaje na ulifuata nini marehemu!!

Sehemu yoyote muda wowote mkuu panaweza tokea jambo likatrend dunia nzima.
Rudi thread namba 50 kuna mtu amejibu kwa heshima kabisa bila matusi wala kejeli. Na nimemuelewa vema
 
Back
Top Bottom