Ajali ya MV Nyerere: Kangi, Jenista na Kamwelwe bado Mawaziri?

Na wewe bado ni mbunge wakati Halmashauri yako mwaka huu ilipata hati chafu??
Yeye kama Mbunge alikuwa na uwezo wa kuwajibisha DED, DT au IA wa halmashauri?
 
Great job kwako!! Kama viongozi wake wote wamemkimbia then unategemea nini? Mbunge anayeamini uchawi uchwara!
Kukimbiwa au kununua viongozi wake kwa kodi za wananchi za kununua vivuko wasife ili kumdhoofisha na ACT Ife?
Damu za watu 220 ziko vichwani mwenu na mpaka muwehuke!
 
Tens hiyo SAA 11 sio kwenda bali ndio kikao kinakaa kujadili wafanye nini! Labda ilikuwa inashughulikiwa kwanza posho ya kikao
 
Kudos Zitto, you're playing it better. You represent the majority who keeps on burning inside their hearts for unusual deeds.
 
Ebu vuta picha katika meli iliyozama kuna mke,mtoto au baba,mama yako.Bado ukiwa na matumaini ya kuweza kuokolewa kwa wapendwa wako kuna mtu anatokea anasema tumesitisha zoezi,tutaendelea baada ya masaa 12 kwa sababu hatuna taa za kutuongoza.Utadhani waliopo chini ya meli iliyozama wamekaa hotel lobby kwenye sofa wanasubiri huduma.Mungu tuepeshe na madhira ya aina hii,ziweke roho za marehemu mahala pema peponi.
 
Mzee wa kiki Kangi hafai hata ujumbe wa 10houses,hana tofauti na Kibajaji
 
Watu wanatumikia matumbo na vyeo vyao wala sio RAIA.
 
Zitto ni kiongozi wa upande upi? Maana kuna upande was kutoa maamuzi hata ya kijinga yanapita na kuna upande hata mseme jua Lima kuchwa magharibi mtapingwa na ikibidi askari wa bunge anaweza kukuzoa na kutupa nje
 
Mkuu wa kituo cha polisi Shinyanga alipo weka watu wengi lockup wakakosa hewa na Waziri Ali Hassan Mwinyi akajiuzulu kwani alikuwepo Shinyanga?
Msipende kutetea ujinga kwa sababu watu wanavaa mashati ya kijani

Kwa mfano wako huo Walioteua Wagombea ubunge Na Udiwani mnaodai wananunuliwa Kama ndugu wanasubiri nini kujiuzulu kuonesha uwajibikaji wa kuteua wala rushwa Na Matokeo yake kugharimu chama Na Nchi ?
 
Kwa akili ndogo tu kuna mtu angekua HAI hadi saa 12 jioni ukiachana na huyo injinia anayedai alikua kwenye chumba maalum?
 
Tens hiyo SAA 11 sio kwenda bali ndio kikao kinakaa kujadili wafanye nini! Labda ilikuwa inashughulikiwa kwanza posho ya kikao
Ni aibu sana hata kujiita Mtanzania mbele ya watu wa mataifa tofauti walah!!
 
Mbona kama umetoka nje ya mada GT si hua tunajibiana kwa hoja?

Ulitakiwa uchambue hoja yake utuambie kakosea wapi halafu wewe utupe au utetee kwa hoja kwa kile unachokipinga kwa ZK ...

Badala yake umetuongelea mawazo au mpango wa zito juu ya kwanini katoa hoja kama hiyo ... Sasa mwenzetu sijui umekua mfalme njozi kujua Zitto kaongea hivyo ili akamatwe kwa sababu ya his own Political gain au ...!!?

Pia hao vijana wa ulaya inategemea wapo katika fani gani maana Kuna Wahandisi, Madaktari, Walimu, halikadhalika wapo vijana Wanasiasa Kama Zitto ambao wanabuni hoja chanya kama za Zitto ...

So to me Zitto amebuni hoja chanya kwelikweli katika kuhoji hili Jambo kuliko hata huyo kijana mtaalamu wa siasa wa ulaya ...

Otherwise Kama labda ulitaka Zitto abuni njia mbadala ya kutibu kaswende au kisonono wakati yeye si mtabibu Bali Mwana siasa ...

Kijana mwanasiasa atabuni mambo ya siasa na Mhandisi atabuni njia na taratibu za ki-uhandisi upo Hapo shostito ...!!!



 
Zitto ni kiongozi wa upande upi? Maana kuna upande was kutoa maamuzi hata ya kijinga yanapita na kuna upande hata mseme jua Lima kuchwa magharibi mtapingwa na ikibidi askari wa bunge anaweza kukuzoa na kutupa nje
Na huu ndo ujinga, eti hatoi maamuzi, Kama hatoi maamuzi kinachomfanya aendelee kunga'ang'ania huko ni Nini!? Zitto ni Kiongozi na kea taarifa yako decision maker, hivyo kwa mda wote ambao amekaa serikalini atawajibika kwayo, kwahiyo
Amebuni Nini zaidi ya kupinga kelele
 
Zitto ni kiongozi wa upande upi? Maana kuna upande was kutoa maamuzi hata ya kijinga yanapita na kuna upande hata mseme jua Lima kuchwa magharibi mtapingwa na ikibidi askari wa bunge anaweza kukuzoa na kutupa nje
Narudia Zitto ni Kiongozi na ni decision maker hakuna namna anaweza kukwepa Yale yote mabaya yaliyotokea wakati yeye no kiongozi, ndio maana analipwa kwa Kodi zetu, Hana todauti na Kiongozi yeyote yule umujuaye!
 
Mkuu wa kituo cha polisi Shinyanga alipo weka watu wengi lockup wakakosa hewa na kufa na Waziri Ali Hassan Mwinyi akajiuzulu kwani alikuwepo Shinyanga?
Msipende kutetea ujinga kwa sababu watu wanavaa mashati ya kijani
......
.....Great Mkuu
 
cccm mnatia aibu, mtu anawambia ukweli mnambeza, kejeli yote hii kwa sababu walio kufa niwa jimbo la upinzani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…