Ndondombi Mulin
JF-Expert Member
- Mar 13, 2016
- 413
- 1,868
Mshana Jr kama umepita pale karibuni hupaswi kumlaumu Dereva wa gari Ndogo.Kuhusu uzembe dereva wa gari dogo ndio wa kulaumiwa
Pale Junction mwanzo badala ya Mataa kulikuwa na VIOO mfano wa Side Mirror za gari. Ndio tulikuwa tunatumia unapovuka. Kuona gari za mwendokasi kama zinakuja.
Ila karibuni vile vioo ni havipo tena, hivyo inakuwa ni ngumu kuona Gari ya Mwendokasi kama inakuja.
Kuvuka ile Junction ni kama tu KUBET. inahitaji Umakini wa hali ya Juu sana.