BodGanleonid
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 3,021
- 4,330
Mambo ya mihemko yametokea wapi mkuu??Nashukuru umemjibu! Inaonesha Msanii ana mihemko si bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya mihemko yametokea wapi mkuu??Nashukuru umemjibu! Inaonesha Msanii ana mihemko si bure
Ripoti zao ni misahafu na biblia kwamba haziwezi badilika na kurekebisha mapungufu yaliyokuwepoRipoti ya polisi ina majibu yote
Ndio itatumika mahakamani na ndio itatumika bima na popote itakapohitajika kumbuka ripoti ya polisi huambatana mpaka na michoro
Ripoti ya polisi ina majibu yote
Watoe elimu gani ya speed wakati speed wanayotembea nayo ndio hiyo inatakiwa. BTW, wakitoa elimu kwa wananchi mfano YANATEMBEA SPEED 100 itasaidia nini kwa wananchiPoint ya kwanza inabidi UDART watoe elimu kuainisha gari zao zinatembea kwa speed gani kulingana na maeneo ya jiji.
Wewe ulitaka yatembee kama konokono? Nini maana ya kuwa na njia yake na kupangiwa muda maalum wa kufika kituo kwa kituo. Msigeuze uzembe wenu utetezi wa upuuziKuitwa mwendokasi haimaanishi speed inayotembea basi bali ni ile hali ya kutokuwa interrupted kwenye njia yake.
SawaWatoe elimu gani ya speed wakati speed wanayotembea nayo ndio hiyo inatakiwa. BTW, wakitoa elimu kwa wananchi mfano YANATEMBEA SPEED 100 itasaidia nini kwa wananchi
wazembe kujiepusha na ajali? Kama sasa hivi wanaona speed yake na hawachukui tahadhali, TAMBUA WANAONA YANAVYOTEMBEA SPEED. Je, kusikia kwa maneno kutawafaa nini?
Wewe ulitaka yatembee kama konokono? Nini maana ya kuwa na njia yake na kupangiwa muda maalum wa kufika kituo kwa kituo. Msigeuze uzembe wenu utetezi wa upuuzi
Umetufungua ufahamuKitu kimoja tu kwenye ajali ile au niseme kosa pekee la ajali ile ni DEFENSIVE DRIVING/ UDEREVA WA KUJIHAMI dereva wa mwendokasi mbali na kua na sheria wakati ule alikua amejiamini kupita kiasi pia hakua na makadirio ya kidereva
Upande alio kuwepo na upande ambao gari ndogo ilitokea, kama angekua na defensive driving hata kama ajali ingetokea isingekua na madhara kama yale! Maana yeye alianza kuiona hiyo gari ndogo mapema ikitokea kushoto kwake, ilikua sio busara kuona mtu kakosea na yeye kwasababu anasheria ajaladie kosa badala ya kumsaidia aliekosea!
Hata kama andeamua kukusudia kujaladia kosa na ameamua kumkomesha mwenye gari ndogo, sijui ile kona ya kumtoa kwenye reli aliikata kwanini, ilikua abaki mulemuele huku akiikokota ile gari ndogo! Hivyo nikama alitaka kutengeneza ushahidi kua amekosewa ila hakutegemea madhara kiasi kile
Defensive driving muhimu jamani sio unaona mtu kakosea na wewe kwa sababu upo kwenye sheria ndio umfanyie kisudi mlengwa! Wote mkikosea madhara yake ndio haya, tuwe na simile barabarani, pia ukiona mtu ana haraka achana nae, kwani mwisho wa siku hamuendi safari moja
Utakuta pumbavu moja linatembea taratibu, unaamua ukae kulia uachane nae, unafika ubavuni nae anaongeza mwendo, sio ajali hiyo!!? Kwani ukimuacha apite utakufa!!? Udereva wa kishamba na ulimbukeni ndio unaoleta maafa huko barabarani!
Kama huyu tutusa wa mwendokasi, labda kama alikua anachezea simu ila alikua na nafasi kubwa ya kupunguza mwendo mapema maana tangu hiyo gari ndogo inatokea kushoto kwake ilikua inavuka barabara nyingine ndio akutane nae lah ilikua amlenge amkokote madhara yasinge kua kama yalivyo
Mkuu shukran kwakoRipoti zao ni misahafu na biblia kwamba haziwezi badilika na kurekebisha mapungufu yaliyokuwepo
Ni vyema DART waendelee za spidi za ajabu huko mitaani, kugharimu maisha ya watu huku mtu mzima kama wewe ukilalia kwenye
Each one teach one! Pale NIT kuna course maalum ya Defensive driving basi tu watu hua wanaona haina tija au unakuta mtu anaichukua kwa kazi maalum au kuongezea cv tu! Ila ni muhimu sana! Sijabahatika kuipitia course hii ila nilinakili course outline nikawa najifunza mwenyewe japo nilisoma kama gazeti imekua inanisaidia time to time! Hivi vitu c vya kupuuza kabisa sema basi tu watu tunachukulia mazoea! Inasikitisha sana kuona dereva haswa wa gari ya huduma ya umma anafanya vitu unprofessional hasa sehemu kama ile! Katikati ya jiji kabisa ajali ile ni kubwa sana! Mbali na yeye kua na sheria muda ule, sheria yake imempeleka wapi!!!? Yupo kitandani anaugulia anawaza ujinga wake na sheria zake!Umetufungua ufahamu
Nafikiri tafsiri ya kuyaita mabasi yaendayo kasi (mwendokasi) ni kwa kuwa yanaenda bila kuongozana na magari mengine, hivyo hata kwa spidi ya 50kph au 80kph, ambayo ni spidi rasmi, bado yangewahi kufika destination kuliko mengine sababu yenyewe yanakuwa hayana msongamano, na hivyo sio sawa kusema kuwa yanatakiwa kwenda KASI sana kuzidi viwango vilivyowekwa kisheria kwa watumiaji wa barabara.Yanaitwa ma bus ya mwendokasi yaani rapid transport hivyo yana mwendokasi kisheria kabisa
.Yana njia yake hivyo kuikatiza inahitaji hadhari kubwa
. Kuna udhaifu wa mamlaka hasa kwenye maeneo uliyoyaainisha..
NaelimikaNafikiri tafsiri ya kuyaita mabasi yaendayo kasi (mwendokasi) ni kwa kuwa yanaenda bila kuongozana na magari mengine, hivyo hata kwa spidi ya 50kph au 80kph, ambayo ni spidi rasmi, bado yangewahi kufika destination kuliko mengine sababu yenyewe yanakuwa hayana msongamano, na hivyo sio sawa kusema kuwa yanatakiwa kwenda KASI sana kuzidi viwango vilivyowekwa kisheria kwa watumiaji wa barabara.
Dhana hii inaungwa mkono na uwepo wa vivuko vya barabara, taa za barabarani nk, na mahali barabara zinapopita ni kwenye makazi ya watu, hayapaswi kukimbia zaidi ya spidi iliyoruhusiwa kisheria kwa watumiaji wote wa vyombo vya moto.
Hii ya kuwa kwenye njia yake, lengo ni kuepusha msongamano na sio kulifanya likimbie kwa uendeshaji unaovunja sheria ilhali kuna watumiaji wengine wa barabara.
Ngoja tupekue tuone kama ipo sheria inayowaruhusu kuendesha kasi watakayo tuzidi kujifunza Msanii
Mjaddala mzima unazungumzia crossing kwenye hiyo njia ni changamotoKwani watembea kwa miguu wanatumia barabara za magari ndiyo uwe unajihadhari kwa kusikilizia mngurumo wa gari?
Ni tatizo ssana kiongozi tumeshuhudia mengigari kutokuwa na mngurumo siyo tatizo
Ilikuwa mwezi wa 3Nakumbuka hii maana mimi nilipanda mwendokasi ya upande mwingine nilikuwa naelekea kariakoo, sasa nilipofika pale Magomeni ndio nikaona hiyo ajari na lile basi la mwendokasi halikusimama pale likaendelea na safari zake
Lililo Mgonga lilitokea Kimara kuelekea Sijui post sijui k/Koo pia lilisimama kama sikosei na kwakua makosa yalikuwa yake, maaskari hawakuwa na Time naye kabisa, halafu yule jamaa alikuwa Mlinzi wa G4SNakumbuka hii maana mimi nilipanda mwendokasi ya upande mwingine nilikuwa naelekea kariakoo, sasa nilipofika pale Magomeni ndio nikaona hiyo ajari na lile basi la mwendokasi halikusimama pale likaendelea na safari zake
Ukweli ndio huo kakaMsanii yangu ni haya
. Yanaitwa ma bus ya mwendokasi yaani rapid transport hivyo yana mwendokasi kisheria kabisa
.Yana njia yake hivyo kuikatiza inahitaji hadhari kubwa
. Kuna udhaifu wa mamlaka hasa kwenye maeneo uliyoyaainisha.. Hatua za usalama hazijazingatiwa kule ambapo njia ya mwendokasi inaingiliana na njia ya magari mengine na waenda kwa miguu
. Eneo la ajali ya juzi lina ajali za kila wiki lakini ya juzi ndio ilikuwa kubwa. Panahitaji traffic lights kwa haraka sana na alama za barabarani
. Kuhusu walala kwenye viambaza wale ni watu wa kudamka alfajiri.. Yaani kukipambazuka tu kibaridi cha dayb wameshaamka maana pale chini hapana starehe kama kitandani ndio maana wengi walisaliika
. Kuhusu uzembe dereva wa gari dogo ndio wa kulaumiwa
Estimated speed kutoka ferry mpaka Kimara ni dakika 40, hapo ni jumlisha kushusha na kupandisha,traffic lights na vivuko vya waenda kwa miguuNafikiri tafsiri ya kuyaita mabasi yaendayo kasi (mwendokasi) ni kwa kuwa yanaenda bila kuongozana na magari mengine, hivyo hata kwa spidi ya 50kph au 80kph, ambayo ni spidi rasmi, bado yangewahi kufika destination kuliko mengine sababu yenyewe yanakuwa hayana msongamano, na hivyo sio sawa kusema kuwa yanatakiwa kwenda KASI sana kuzidi viwango vilivyowekwa kisheria kwa watumiaji wa barabara.
Dhana hii inaungwa mkono na uwepo wa vivuko vya barabara, taa za barabarani nk, na mahali barabara zinapopita ni kwenye makazi ya watu, hayapaswi kukimbia zaidi ya spidi iliyoruhusiwa kisheria kwa watumiaji wote wa vyombo vya moto.
Hii ya kuwa kwenye njia yake, lengo ni kuepusha msongamano na sio kulifanya likimbie kwa uendeshaji unaovunja sheria ilhali kuna watumiaji wengine wa barabara.
Ngoja tupekue tuone kama ipo sheria inayowaruhusu kuendesha kasi watakayo tuzidi kujifunza Msanii