Ajali ya mwendokasi tarehe 22/02/2023 tujiulize maswali haya...

Ajali ya mwendokasi tarehe 22/02/2023 tujiulize maswali haya...

Point ya kwanza inabidi UDART watoe elimu kuainisha gari zao zinatembea kwa speed gani kulingana na maeneo ya jiji.

Kuitwa mwendokasi haimaanishi speed inayotembea basi bali ni ile hali ya kutokuwa interrupted kwenye njia yake. Unakuta basi la UDART linawahi kufika kwa sababu njia yake haina msongamano. Kuyaruhusu yaende mwendo wanaoutaka inaweza kusababisha dharura hata ajali.

Hawaheshimu vivuko vya zebra zilizokatiza kwenye njia yao.

Mabasi ya express ndo yanaongoza kwa ajali kutokana na madereva wake kubehave kama wala mirungi.



Kuhhsu kulala viambazani. Nakuapia kuwa wapo wanaochelewa kuamka. Naingia mjini mara nyingi wapo wanaolala hadi saa mbili... baada ya kupita eneo la ajali nilifanikiwa kupiga picha hiyo hapo chini (ilkkuwa tayari saa mbili kasoro)
View attachment 2529181
Bado utasema mbu wa dar wanaleta malaria 🤐
 
Haya nimekubali kukosolewa.

Soma vyema nilochoandika hapo juu.

Upunguze kudandia majibu, tumia tafakuri yako

Hiyo mihemko nenda kamjibu baba yako hivyo
Heshimu mawazo ya upande wa pili , uwezi kuwa sahihi wakati wote.
 
Back
Top Bottom