Ajali ya Mwendokasi yaua eneo la Urafiki

Wanasema wamezoea magari.Wanachoogopa Dar es salaam ni panyaroad na mvua tu.Magari wao Wala hawajali.Jana Pugu Kona Lori ilitaka kupitia na Boda Boda ikiwa na abiria nyuma Tena ni mwanamke.
Pale Pugu Kona napo pana hatari. Ule mlima na malori ya mchanga yanayotokea na kwenda Chanika-Homboza
 
Kuna siku ñimetoroka chuo mkoani nikaenda dar kufika ubungo nikaona na ushamba wangu nikipanda gari kwenda kariakoo naeza potea nikaona option rahis nipande boda ile tume tembea tembea jamaa akachomekea kwe barabara ya mwendo kasi ile ata mita mia azijaisha nageuka nyuma naona dubwana hili apa....
Bwana wee niliishiwa nguvu ile namshtua boda mzigo hu apa unatufikia akafanikiwa kuchepuka kutoka kwenye hio njia ikawa ndo pona yetu....

Ushauri... ata kama boda boda ni wakaidi kueni na huruma na abiria alopakizwa asiejua chochote
 
Madereva wa mwendokasi ni wehu
 
Yangejengwa mahandaki ya kuvukia waenda kwa miguu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…