Ajali ya Mwendokasi yaua eneo la Urafiki

Bado sanaa. Kwa sisi wanaume hapa sasa ndio kunakucha. Yan bado sanaaa ndio maana niliamua kumaliza kuzaa mapemaaa ili nikiliamsha nimeliamsha. Mid 30's???? Badoo sanaaaaaaaa!!!!
Mimi mwenyewe nataka nizae mapema mwakani nifyatue hata mmoja 2027 nifyatue wa pili jiandae kuitwa mjomba
 
Muda huu saa mbili ahsubuhi tarehe 11 June 2024, nimepita eneo la Urafiki jirani na Shekilango nikiwa ktk Mwendokasi kwenda Kimara, basi nililopanda lilipofika mataa ya Urafiki limechepuka kutoka njia yake na kupita barabara ya kawaida. Tumeenda mbele tunaona kuna umati ktk brbr ya mwendokasi usawa wa depo ya Kilimanjaro Express. Katikati umelala mwili wa binadamu mwenzetu. (RIP)

Tulipokuwa tunakatizi hapo, washuhuda wa ajali wanasema marehemu amegongwa na mwendokasi alipokuwa anavuka. Wanaenda mbali zaidi kumfokea dereva wetu kuwa wamezoea kuua watembea kwa miguu hivyo nao watajitwalia sheria mkononi.

Kwa kumsitiri marehemu, sikupiga picha ya ajali hiyo. Team Picha mtanisamehe

MY TAKE
Iwezekane njia ya mwendokasi iwekewe uzio watu wasivuke hadi kwenye zebra crossing. Nasema hayo kwa sababu madereva wa mwendokasi ni kama wana kinga dhidi ya makosa ya usalama barabarani.

Mwendokasi ya Mbagala itakapoanza tutakuwa na simanzi tele kwa ajali zitakazojiri

Ee Mungu tusaidie
Wananchi tusio na vyombo vya moto wengi hatuna Elimu ya Usalama Barabarani.
 
Ile nyie commentators bana ..... Ishu wa kulaumiwa ni sirikali ambayo imeshindwa kuweka miundombinu sahihi katika utumizi wa hii mwendokasi na usalama Wa watumiaji wa barabara. Mbona treni ya umeme Ina njia yake salama.... Mwendokasi Haina njia salama... Jiulize ni kwanini haukujengwa uzio katika njia yote ya mwendokasi ili Hali Serikali inafahamu na kutambua tabia zetu za kienyeji sisi waafrika na hasa Watanzania katika kuheshimu utaratibu wa kawaida wa maisha... So DEREVA HANA KOSA MAANA MWENDOKASI MAANA YAKE NI SPIDI KUBWA .
 
Usijifiche huko,wewe bodaboda fuata alama za barabarani vinginevyo utapitiwa tuu.

"Bodaboda ni kazi ya laana" maneno ya Godbles Lema

Tumia mda huu kutubu maana anguko lako linakuja wakati huo

Utakapokuwa unashuka shimoni katika Giza nene hutapata mda wa kuandika haya utalia na kujuta ila huenda usiwe na mda tena wa kutubu.
NB
Mith 29:23
 
Kwani mwendokasi haina njia yake? Mwendokasi sio kwasababu ya mwendo ni kwasababu ya kutozuiwa na magari kwenye foleni. Mwendo wake hauzidi 50kph wakati ile treni inaenda 160kph na kwenye njia yake kuna mapori yenye wanyama na ndio maana inawekwa fence mwanzo mwisho.
Jifunzeni kuvuka sehemu maalum kwa umakini kama wenzenu.
 
Mwendo kasi wana haki kuwagonga hao watu maana kwa akisema amkwepe au kufunga breki kwa nguvu wataokufa na kuumia ni wengi
 
Usijifiche huko,wewe bodaboda fuata alama za barabarani vinginevyo utapitiwa tuu.

"Bodaboda ni kazi ya laana" maneno ya Godbles Lema
Binafsi sio boda boda na ni dreva kwa sasa wa gari,bajaji na pikipiki vyote naendesha nimefanya mafunzo ya driving kwa miezi 3 na uzoefu barabarani kwa miaka ya kutosha
Barabara zetu sio rafiki kuanzia kwa gari mtembea kwa miguu na Hawa watu wa bikes
Alama haziko wazi na elimu ya barabara haiko kwa Kila mtu ni jukumu la Kila mmoja kulinda usalama wa mwingine na si kuwa na kibri Cha kuhamasisha ajali dhidi ya wengine.
 
Tumia mda huu kutubu maana anguko lako linakuja wakati huo

Utakapokuwa unashuka shimoni katika Giza nene hutapata mda wa kuandika haya utalia na kujuta ila huenda usiwe na mda tena wa kutubu.
NB
Mith 29:23
Sasa nitubu jambo gani ama kosa lipi?
Acha kuchomokea Dini kwenye hoja ya msingi,nakushauri soma course ya driving upate kuelewa matumizi ya chombo Cha moto na barabara Kwa mwezi mmoja tuu ,utakuja kunishukuru
 
Binafsi sio boda boda na ni dreva kwa sasa wa gari,bajaji na pikipiki vyote naendesha nimefanya mafunzo ya driving kwa miezi 3 na uzoefu barabarani kwa miaka ya kutosha
Barabara zetu sio rafiki kuanzia kwa gari mtembea kwa miguu na Hawa watu wa bikes
Alama haziko wazi na elimu ya barabara haiko kwa Kila mtu ni jukumu la Kila mmoja kulinda usalama wa mwingine na si kuwa na kibri Cha kuhamasisha ajali dhidi ya wengine.
Unaanzaje kujiingiza kichwa kichwa kwenye njia ya mwendo Kasi,
Ni treni lifunge brake ya ghafla kisa Kuna raia anakatiza?
 
Muda huu saa mbili ahsubuhi tarehe 11 June 2024, nimepita eneo la Urafiki jirani na Shekilango nikiwa ktk Mwendokasi kwenda Kimara, basi nililopanda lilipofika mataa ya Urafiki limechepuka kutoka njia yake na kupita barabara ya kawaida. Tumeenda mbele tunaona kuna umati ktk brbr ya mwendokasi usawa wa depo ya Kilimanjaro Express. Katikati umelala mwili wa binadamu mwenzetu. (RIP)

Tulipokuwa tunakatizi hapo, washuhuda wa ajali wanasema marehemu amegongwa na mwendokasi alipokuwa anavuka. Wanaenda mbali zaidi kumfokea dereva wetu kuwa wamezoea kuua watembea kwa miguu hivyo nao watajitwalia sheria mkononi.

Kwa kumsitiri marehemu, sikupiga picha ya ajali hiyo. Team Picha mtanisamehe

MY TAKE
Iwezekane njia ya mwendokasi iwekewe uzio watu wasivuke hadi kwenye zebra crossing. Nasema hayo kwa sababu madereva wa mwendokasi ni kama wana kinga dhidi ya makosa ya usalama barabarani.

Mwendokasi ya Mbagala itakapoanza tutakuwa na simanzi tele kwa ajali zitakazojiri

Ee Mungu tusaidie

Tuache kudanganyana. Kuna gharama zingine ni za ujuaji wetu. Hatuheshimi kabisa sheria na taratibu. Tunajidanganya tumezaliwa mjini. Ila tunasahau pia ujanja wa kilofa, tunafia hapa hapa mjini
 
Hamna mwenye haki ya kugonga mtu.

Nenda kalale kwenye barabara ya treni halafu uje kutusimulia. Mtu mzima ana akili zake anaenda kutamba barabarani, wakati hata pakulala hana. Akili nyingine zinaongeza ujuha wetu
 
Unaanzaje kujiingiza kichwa kichwa kwenye njia ya mwendo Kasi,
Ni treni lifunge brake ya ghafla kisa Kuna raia anakatiza?
Naongelea kulinda maisha na usalama wa mtu pasi na kujali amekosea
Kutoa adhabu ya ulemavu au mauti kwa mtu kisa kaingia kwenye barabara Yako si sawa
Njia ya treni ilipaswa kuwa na closing gate Kila treni inapokaribia eneo husika ili kulinda maisha ya raia
 
Back
Top Bottom