Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Milango inavyofunguka kwenye ATR wakati wa emergency. Hamna mahali wanaposema lazima awepo mtu nje wa kuifungua.
Amandla...
Ukishafunguwa mlango unafikaje nchi kavu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Milango inavyofunguka kwenye ATR wakati wa emergency. Hamna mahali wanaposema lazima awepo mtu nje wa kuifungua.
Amandla...
Hii ishu si ya kumuwajibisha mtu mmoja hii ni ishu ya uzembe wa watu wengi sana.Bora useme Serikali na Bunge lake kujiuzuru,badala ya kutafuta kujiuzuru kwa waziri mkuu!
Ilhali ukijua wazi kwamba Mtunga sera Ni serikali na mleta Bajeti ni wizara ya fedha na wapitisha bajeti ni Wabunge wa CCM!
Majaliwa Mungu aendelee kumjaalia!
Sasa wewe akili za kisoda uviviwavi zerolism ...kalime matikiti MrokaHuwezi amini sijaelewa ulichoandika.
So ni taasisi gani inayooperate kiwanja cha KIA na Zanzibar airport?Tanzania Civil Aviation Authority(TCAA) ndio regulator wa ubora wa viwanja vya ndege Tanzania,wakati Tanzania Airports Authority(TAA) ndio operators wa Viwanja vya ndege Tanzania isipokuwa vya Zanzibar na KIA ambacho kipo mbioni kurudishwa TAA
Wewe matakle kweli, kuchambua huko kunahusiana vipi na ujinga ulionao? Anawaongopea wajinga kama nyie toka lini mlango wa dharura wa precision ukawa na ngazi?Jipigepige kifuani huku ukijisemesha Mimi ni mchawi kasoro vitendea kazi ndio sina.
Hapa JF ni barafu ndio amekuwa ngumu wa kuchambuwa industry ya Aviation unless kama ndio leo umeanza kuna Uzi wake.
Fistula inatibika wahi matibabu.
Unajaribu kusogeza goli. Mtaalam alisema hauwezi kufungua mlango bila msaada wa mtu aliyekuwa nje. Ni dhahiri kuwa hakuwa sahihi na mlango unafunguliwa kutoka ndani tu. Taratibu zikifuatwa, abiria wanatakiwa kuvaa life vest kabla hawatoka nje.Ukishafunguwa mlango unafikaje nchi kavu?
Nchi ngumu hii Sasa tangu kumekucha tumbo halijaonja chochote utaelewa kweli?Huwezi amini sijaelewa ulichoandika.
Mkuu hata bila code ..shikamooAfadhar mleta uzi amekuja kiweredi!
Ila watanzania kuna mifumo yetu ya ufikiri haifanyi kazi vizuri. Tunahitaji overhaul!
HAIWEZEKANI KATIKA AJARI HII TUKAJIKITA KWA SUALA LA MAJALIWA NA MLANGO NA KUACHA MAMBO YA MSINGI ILI ISIJIRUDIE TENA! na KUWAJIBISHANA...
🤣🤣🤣🤣🤣Nchi ngumu hii Sasa tangu kumekucha tumbo halijaonja chochote utaelewa kweli?
Una roho mbaya kigagula.weye!Nimekuja , unasemaje ?
Kuuvunja mlango?!Heshima kwako kaka, nilikusubiri sana ili nikusome na kujifunza, hivyo nashukuru sana.
Umeshusha Madini mengi sana ila kwa makusudi umeamua kumfagilia na kumpamba huyo dogo Majaliwa kwa sababu unazozijua mwenyewe.
Dogo Majaliwa alieleza kuwa akitumia kasia lake na kuugonga mlango wa ndege mpaka kuuvunja japo wewe umetueleza njia tofauti ya matumizi ya kasia katika mlango wa ndege ili kutimiza agenda yako.
Hakuna asiyekubali msaada mkubwa uliofanywa na wavuvi (Majaliwa akiwa mmoja wao), kinachopingwa ni kutangaza Majaliwa ndiye shujaa na ukichukuza kuna wavuvi wengi waliofanya kazi ya uokoaji mpaka kumuokoa Majaliwa mwenyewe.
Ila nikushukuru kwa kuja humu Jf sababu wengine walishasema #Barafu ni miongoni mwa Marubani waliopoteza maisha katika ajali hiyo.
Nikutakie maisha marefu
Rudi kaitazame tena clip ya Majaliwa akihojiwaKuuvunja mlango?!
Acha urongo wewe