Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,760
- 20,837
Majaaliwa keshakula ruzuku yake mtajuana wenyewe kama aliokoa au hakuokoa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maja Mnyama! Maja mtu mmbadi[emoji3][emoji3][emoji3]Imefahamika kuwa licha ya Jeshi la Wanamaji kujulishwa tukio la ajali, Boti rasmi ya uokoaji ya Kitengo cha Wanamaji
Hii ni report ya awali...ile ya black box itakuja baadae na chanzo halisi na mapendekezo...Ukiisoma hii ripoti imesema uchunguzi wa chanzo is ongoing.Hivi black box kazi yake ni nini? Na hyo ripoti imengalia vitu gan mpak kuja na majibu ya hvyo , duniani kote ripoti za ajali ya ndege primary data ni black box , kwenye hii ya kwetu hata black box haitajwi
Mi nahisi hiyo ndege ilikutwa na kitu kinaitwa aerodynamic stall dakika chache kabla ya kutua kutokana na kupungua kwa airspeed kutokana na kuzunguka mara mbili kabla hali ya hewa haijaimarika maana ni rahisi rubani kupunguza umakini wa kubalance airspeed hivyo wings kuacha ku generate lift na hivyo ndege kuanguka (nosedive).Duh..hiyo taarifa aliyoitoa kwamba anatua majini alikupatia wewe pekeako? ukiogopa kupanda ndege si utakuwa mwendawazimu sababu ndo usafiri salama kuliko vyote, hakuwa na sababu ya kwenda Mwanza sababu wingu zito na fog vilikuwa vimepungua na uwanja ulikuwa unaonekana nadhani ndo sababu akaishusha ndege, mahali ndege ilipotua ni mita 500 tu kutoka uwanja ulipo, unataka kutuambia mafuta ya kukimbia hizo 500m yalikuwa hayatoshi?
Ndugu nani kakudanganya wahudumu walikufa?wahudumu wote wawili walipona.Tusiokoteze habari vijiwenikama mlango ulifunguliwa na mhudumu kwa nn yeye hakujiokoa.ni kweli katika mazingira ya kawaida ufungue mlango halafu wewe mwenyewe ukubali ufe kwa kuwaokoa kwanza wengine?tusaidiane hapo.mm siko kinyume na taarifa lkn kuna maswali yanahitaji majibu ya kina.
Hivi ataendelea na mafunzo ya uokoaji kweli [emoji23]
Ngoja tusubiri hiyo ya black box mkuuHii ni report ya awali...ile ya black box itakuja baadae na chanzo halisi na mapendekezo...Ukiisoma hii ripoti imesema uchunguzi wa chanzo is ongoing.
Hivi ndege ilivyokuwa kubwa tutegemee kuwa wasingeiona?Majaliwa bado atakua Shujaa maana ndiyo Mtu wa kwanza kuiona hiyo ajali na kuwataarifu Wavuvi wenzie na kuwai kukimbilia kwenye ajali na kutoa msaada kwa wakati!!
Namshangaa mdau hapo juu, kwa ukubwa wa ndege bado unamuhitaji majaliwa akuoneshe ndege iliyodondoka tena ikiwa bado inaelea?Hivi ndege ilivyokuwa kubwa tutegemee kuwa wasingeiona?
Serikali na wananchi walikosea kupaisha mtu kabla hawajatoa ripoti.
Ona sasa wameumbuka
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kwahiyo mnataka kutuambia Majaliwa hakusaidIa ama? Mwacheni nae alicheza pat yake huyo muhudumu yuko wapi?Imefahamika kuwa licha ya Jeshi la Wanamaji kujulishwa tukio la ajali, Boti rasmi ya uokoaji ya Kitengo cha Wanamaji ilichelewa kufika eneo la ajali na sababu ni kwamba haikuwepo katika Bandari ya Bukoba
-
Pia, pamoja na Askari wa Kitengo cha Wanamaji kuchelewa kufika, hawakuweza kufanikisha zoezi la uokoaji chini ya maji kwa sababu ya ukosefu wa oksijeni na mafuta ya kutosha Boti
Aidha, kabla ya kuwasili kwa Polisi Kitengo cha Wanamaji, mmoja wa wavuvi wa eneo hilo alianza mchakato ya uopoaji wa maiti kutoka kwenye mabaki Ndege.
======
Novemba 9, 2022, Ndege ya Precision Air iliyokuwa inasafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Bukoba ilipata ajali pembezoni mwa ziwa Victoria, karibu kabisa na uwanja wa Ndege wa Bukoba.
Ajali hii iliyoua watu 19 ikiwemo wasafiri 17 na wahudumu 2 iliwasili Bukoba saa 8:25 asubuhi ambapo hali ya hewa ilikuwa mbaya, kukiwa na radi, mawingu mazito na upepo mkali.
Kwa mujibu wa Ripoti iliyotolewa na wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, ndege hii ilizunguka mji wa Bukoba mara mbili, kisha abiria walipewa taarifa kuwa ingegeuza kurudi Mwanza kwa kuwa hali iliyokuwepo hapo haikuwa rafiki.
Lakini wakati ikizunguka kwa mara ya tatu, rubani aliweza kuona sehemu ya kutua ndipo akaamua kuishusha. Kwa mujibu wa manusura, ndege hii ilishuka salama, lakini kabda haijakanyaga ardhi ndipo ilibadili uelekeo kuelekea upande wa ziwa.
Mhudumu mmoja wa ndege hiyo pamoja na abiria mwingine ndiyo walihusika kufungua mlango, kisha abiria huyo alisimama kuzuia mlango ili usijifunge ili abiria wengine waweze kutoka na kuingia kwenye mitumbwi ya wavuvi.
Boti ya uokoaji iliwasili saa 7:49 mchana sababu ilikuwa inafanya oparesheni zingine, hivyo haikuwa karibu na uwanja wa Ndege wa Bukoba.
Marubani wote wawili walishindwa kufungua mlango kutokana na nguvu kubwa ya maji, kama kungekuwa na msaada wa haraka, watu wengi wangeokolewa
Pia, ripoti imebainisha kuwa uwanja wa ndege wa Bukoba hauna mnara kwa kuongozea ndege (Control tower). Mawasiliano yote hufanyika kwa kutumia mnara wa Mwanza.
Uchunguzi wa kubaini chanzo halisi cha ajali hii bado unaendelea.
View attachment 2424342View attachment 2424343
Soma ripoti Acha tantalila.Kampuni ya precision bangiii ,wale I tu eti wanamlaumu majaliwa kwani majaliwa anahusikaje na ujinga wao ??
Hawana akili hao wao ndio walipaswa kuweka mambo Yao sawa wameua watu watu Kisa uzembe wanasingizia serikali wapuuzi labda ingekuwa air Tanzania maana ndio ya serikali wameniboa au walitaka kutoa wenzao sadaka wapate wateja wengi
Aircraft investigation acha ianze kufanya kazi sasaImefahamika kuwa licha ya Jeshi la Wanamaji kujulishwa tukio la ajali, Boti rasmi ya uokoaji ya Kitengo cha Wanamaji ilichelewa kufika eneo la ajali na sababu ni kwamba haikuwepo katika Bandari ya Bukoba