Ajali ya Treni ya Dar maeneo ya Karume, mabehewa yameacha njia

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,284
Reaction score
7,708
Kuna ajali ya Treni inayofanya safari Pugu / Dar es Salaam City imeanguka baadhi ya mabehewa maeneo ya Karume, hivyo njia ya Kawawa Road karibu na Veta haipitiki

Behewa limeacha njia na kuanguka, Watu kadhaa wamejeruhiwa, abiria wanaotoka Magomeni kwenda Mbagala na Tandika watalazimika kutafuta njia mbadala ya kupita.

Usafiri wa Treni ya Abiria maarufu kama ‘Treni ya Mwakyembe’ umesimama kwa muda baada ya Treni...jpg

Pia soma ~
Taarifa kwa umma, ajali ya treni ya mjini kwenda Pugu
 
Kuna ajali ya Treni inayofanya safari Pugu / Dar es Salaam City imeanguka baadhi ya mabehewa maeneo ya Karume, hivyo njia ya Kawawa Road karibu na Veta haipitiki

Behewa limeacha njia na kuanguka, Watu kadhaa wamejeruhiwa, abiria wanaotoka Magomeni kwenda Mbagala na Tandika watalazimika kutafuta njia mbadala ya kupita.

Tunapomngeza samia kwa jambo hili la train kuacha njia. Ni juhudi zake binafsi.
 
Back
Top Bottom