Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Hii kero imenikumba mpaka huruma yaan.
PoleeeeMmh!Yaan ni kweli inasikitisha nipo maeneo haya napita ya darajan foleni kama yote.
Mbona Mimi hunipi polee.Poleeee
Oooh Dr. Poleee sana. Mnapita njia ipi sasa?Mbona Mimi hunipi polee.
Kuna ajali ya Treni inayofanya safari Pugu / Dar es Salaam City imeanguka baadhi ya mabehewa maeneo ya Karume, hivyo njia ya Kawawa Road karibu na Veta haipitiki
Behewa limeacha njia na kuanguka, Watu kadhaa wamejeruhiwa, abiria wanaotoka Magomeni kwenda Mbagala na Tandika watalazimika kutafuta njia mbadala ya kupita.
Bado.Na hiyo shingo hujaona
AhsantePoleeee