DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Uzembe wa CCM huu! Kwa nni mabehewa yaanguke?😡Duh aiseee hatari sana
100%Hapo fungu linasubiriwa litoke watu wapige hela
Na hiyo shingo hujaonaTusubiri tuone.
Kuna ajali ya Treni inayofanya safari Pugu / Dar es Salaam City imeanguka baadhi ya mabehewa maeneo ya Karume, hivyo njia ya Kawawa Road karibu na Veta haipitiki
Behewa limeacha njia na kuanguka, Watu kadhaa wamejeruhiwa, abiria wanaotoka Magomeni kwenda Mbagala na Tandika watalazimika kutafuta njia mbadala ya kupita.