Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Hakuna kitu kama hicho mkuu hiyo gari ni nyepesi sana nimeshuhudia ajali za hivyo kadhaa unakuta mtu upo slow anakupita kwa kasi akiamini ana uzito wa kutosha kumbe hakuna kitu na kumbuka zile gari nzito kama Navara na ndugu zake hatuziwezi kodi...hivi vipasso vitatatuua sanaSio kwamba gari ikijaza abiria full (kama hao watu sita ndani ya Spacio) inakua nzito... Stable?