Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
SawaAliyekuwa anaendesha ni bakabaka wa kike na hiyo ni gari yake binafsi.
Siyo dereva wa serikali!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaAliyekuwa anaendesha ni bakabaka wa kike na hiyo ni gari yake binafsi.
Siyo dereva wa serikali!!
Vigari vya mjapani miaka hii ni kama karatasi tuuHivi Spacio ni 7 seater? Aaaah itakua mtoto alikua amepakatwa.
Kumbe eneo la Dumila limetokana na jina la Mt. Joseph Dumila. Anaonekana alikua mtakatifu sana.
Mimi nikiwa dereva, nikiona gari inakuja mbele yangu, naikwepa. Haitonigonga.
Hivi gari za siku hizi zinaundwa kwa materials gani, mbona zikipataga ajali zinapondeka sana?
Sanaaaaa, nimesema several times hii barabara waongeze walau extra lane ili iwe three lanes..Dar-Dom highway itafyeka watu sana
Ishu za kifamilia hasa hasa, ndugu na watu wa karibu
Ndiyo wanunue gari la milioni 500??? Hivi ukienda Uholanzi hujaona PM anaenda ofisini na baiskeli?Usalama wa viongozi ni first priority. Gari zao lazima ziwe na stability ya kutosha kuhimili miundombinu ya nchi yetu.
Mkuu elewa kuwa hiyo ni ajali.Hivi Spacio ni 7 seater? Aaaah itakua mtoto alikua amepakatwa.
Kumbe eneo la Dumila limetokana na jina la Mt. Joseph Dumila. Anaonekana alikua mtakatifu sana.
Mimi nikiwa dereva, nikiona gari inakuja mbele yangu, naikwepa. Haitonigonga.
Hivi gari za siku hizi zinaundwa kwa materials gani, mbona zikipataga ajali zinapondeka sana?
Umeamua kutuchekesha msibani🤣Paundwe Tume ya uchunguzi yenye wajumbe 30 toka bara (Tanganyika) , 30 (Zanzibar) wachunguze chanzo cha ajali hii
Uholanzi sawa na Dumila?Ndiyo wanunue gari la milioni 500??? Hivi ukienda Uholanzi hujaona PM anaenda ofisini na baiskeli?
Inasikitisha sana.Mwaka huu na mwaka jana no zamu ya familia. Yani ni shida jamani
Kluger ni Prado iliyochangamka!Kluger ni mnyama kazi mzee baba
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Kluger ni Prado iliyochangamka!
Hivi mtu kuwa mtakatifu anakuwaje?Hivi Spacio ni 7 seater? Aaaah itakua mtoto alikua amepakatwa.
Kumbe eneo la Dumila limetokana na jina la Mt. Joseph Dumila. Anaonekana alikua mtakatifu sana.
Mimi nikiwa dereva, nikiona gari inakuja mbele yangu, naikwepa. Haitonigonga.
Hivi gari za siku hizi zinaundwa kwa materials gani, mbona zikipataga ajali zinapondeka sana?
Sio kwamba gari ikijaza abiria full (kama hao watu sita ndani ya Spacio) inakua nzito... Stable?Nadhani tutapoteza familia sio ukinunua gari tuu na udereva unaweza kisa Leseni umeletewa pana haja kuwa makini ukishindwa kodi dereva awapeleke kijijini kuliko kujaza familia kwa Leseni ya Duka...gari ndogo inapepea inakua nyepesi pale inapopishana na gari kubwa nimeona madereva wengi hawapunguzi mwendo wanapopishana yeye akiamini yupo site yake kumbe katikati ya Tela na horse pale panakua na upepo unaoweza kutoa gari ndogo nje ya bara bara kama utaipita au kupishana na Truck kwa kasi sana...