Duduvwili
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 4,355
- 4,476
Kabisa asee hmn bodi mleXtrail plastic
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa asee hmn bodi mleXtrail plastic
Usalama wa viongozi ni first priority. Gari zao lazima ziwe na stability ya kutosha kuhimili miundombinu ya nchi yetu.Ndo maana walamba asali wananunuliwa Landcruiser 300 series
Iwe isiwe hata tukikosa umeme, maji, Usalama wao KwanzaUsalama wa viongozi ni first priority.
Yap! Usalama kwanza.Iwe isiwe hata tukikosa umeme, maji, Usalama wao Kwanza
Ikibidi hata kuhatarisha maisha ya mnyonge (kutumia vifaa vilivyo-expire) ili Mradi Kiongozi na ukoo wake wako salamaYap! Usalama kwanza.
Hivi Spacio ni 7 seater? Aaaah itakua mtoto alikua amepakatwa.
Kumbe eneo la Dumila limetokana na jina la Mt. Joseph Dumila. Anaonekana alikua mtakatifu sana.
Mimi nikiwa dereva, nikiona gari inakuja mbele yangu, naikwepa. Haitonigonga.
Hivi gari za siku hizi zinaundwa kwa materials gani, mbona zikipataga ajali zinapondeka sana?
Habari ndio hiyo.Ikibidi hata kuhatarisha maisha ya mnyonge (kutumia vifaa vilivyo-expire) ili Mradi Kiongozi na ukoo wake wako salama
Chawa Usalama 100%Habari ndio hiyo.
Naona kama ni moja ya mbinu za kutupunguza kwa idadi yetu kwakuwa wengi sie waafrika
Wazungu, wahindi wanaendesha pikipiki pia Ila husikii wamepasuka vichwa Kama wabantuMnajipunguza wenyewe kwa kushindwa kuthamini maisha yenu sawasawa.
Ila pia watu wengi hawajuwi haya magari madogo sio yakusafiria na familia. Chukua ngari kubwa punguza vifoWatu wanne wamefariki dunia kufuatia ajali ya lori na gari dogo aina ya Toyota Spacio katika eneo la Kwambe Dumila wilayani Kilosa mkoani Morogoro na kusababisha barabara kufungwa kwa saa kadhaa.
Akizungumza na Mwananchi Digital kwa simu leo Januari 14 Mkuu wa wilaya ya Kilosa, Majid Mwanga amesema gari hilo ndogo lilikuwa na watu sita akiwemo dereva ambaye ni mtumishi wa Serikali.
Mwanga amesema kwa sasa wanaendelea kufanya mawasiliano kujua ni mtumishi wa idara gani.
Aidha amesema imetambulika kuwa waliokuwemo ndani ya gari hiyo woye ni familia moja, ambapo aliwataka madereva kuendelea kuwa makini wanapokuwa barabarani hasa kwa kipindi hiki cha Mvua.
Mganga Mfawidhi wa hospitali ya Mtakatifu Joseph Dumila, Manyele Kapongo amesema wamepokea miili ya watu hao (marehemu) na majeruhi wawili.
Kapongo amesema kwa sasa wanaendelea na matibabu ya majeruhi hao wawili ambao ni mama na mtoto.
Aidha mashuhuda wa ajali hiyo wanasema kuwa magari hayo yaligongana uso kwa uso na ambapo gari ndogo imeharibika vibaya.
Shuhuda Julias Michael mkazi wa Dumila akizungumzia ajali hiyo amesema chanzo cha ajali hiyo ni kuendesha mwendokasi wa dereva wa gari ndogo kwa kushindwa kukwepa.
MWANANCHI
True sayHizi ajali zinazouwa familia huwa zinakuwa na walakini mkubwa kiroho
Hii gari imepata ajali wiki mbili tu zilizopita! Ilijibamiza kwenye lori ikachakaa vibaya sana..Ndo maana walamba asali wananunuliwa Landcruiser 300 series
Picha?Hii gari imepata ajali wiki mbili tu zilizopita! Ilijibamiza kwenye lori ikachakaa vibaya sana..
Inaweza kuwa ndiyo J300 ya kwanza kupata ajali tz!
Aliyekuwa anaendesha ni bakabaka wa kike na hiyo ni gari yake binafsi.Shida ya madereva wa serikali hujiona watemi wakiwa barabarani, wanahamia upande wa pili wanakutaka uliyeko upande huo uende porini uwapishe wao
Sikupiga picha ila ni mali ya serikali!Picha?