Ajali yaua watu wanne wa familia moja Morogoro

Ajali yaua watu wanne wa familia moja Morogoro

Nissan Xtrail sijawahi kuipenda jamani hata chembe!

Mkuu Extro nipe 1, 2 za kluger, maana huku kwetu kanda ya ziwa zinabamba sana!
Kluger ni mnyama kazi mzee baba. Gari ya kuvuruga pori kwa pori. Chaka to Chaka maana ziko zenye 4WD. Ukija kwenye comfort ziko vizuri hata highway unachanja nayo mbuga tu.

Kifupi ni gari ya kiume halafu ni multipurpose. Unavimbia mjini na kijijini.
 
Back
Top Bottom