and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Bei Mkuu 35m nikaziweke barabarani?Nunua Vanguard ili uweze ku taste tofauti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei Mkuu 35m nikaziweke barabarani?Nunua Vanguard ili uweze ku taste tofauti.
Sasa mtu atakupangiaje wakati gari lako.tatizo la sisi watanzania ukinunua gari basi hakuna anayekupangia hata kama sio dereva
ndo hivo RIP.Sasa mtu atakupangiaje wakati gari lako.
Kwani Nissan imeku cost bei gani mkuu, sahizi SUV za class ya xtrail ni kati ya 21M-25M hizo za bei rahisi. Za daraja la juu ni kati ya 25M-32MBei Mkuu 35m nikaziweke barabarani?
Ishu za kifamilia hasa hasa, ndugu na watu wa karibuHuenda ni targets hawa ama?
17.5m kila kituKwani Nissan imeku cost bei gani mkuu, sahizi SUV za class ya xtrail ni kati ya 21M-25M hizo za bei rahisi. Za daraja la juu ni kati ya 25M-32M
Naona kama ni moja ya mbinu za kutupunguza kwa idadi yetu kwakuwa wengi sie waafrikaGari za sikuhizi zinawekewa body laini na hazina chassis. Zina frame tu ambayo ndio inafungwa fungwa na machuma chuma yote ya chini.
Ndio maana gari ikishafumuliwa sehemu ya engine tu ambako ndio pagumu yote inakuwa inaisha kabisa na kuchanika chanika.
Punguza kukurupuka kama kitu hujakielewa uliza ama achana nacho si lazima ujitie ujuajiacha fix hio ni ajali Kama ajali zingine tuu.
I doubtKluger ni mnyama kazi mzee baba. Gari ya kuvuruga pori kwa pori. Chaka to Chaka maana ziko zenye 4WD. Ukija kwenye comfort ziko vizuri hata highway unachanja nayo mbuga tu.
Kifupi ni gari ya kiume halafu ni multipurpose. Unavimbia mjini na kijijini.
RIP familia.Japo chombo inatembea Sana. Na ule mngurumo full mzuka.
Xtrail Sijui waliifyatua na nn karatasi ganiXtrail ndio naskia body yake na mabango ya sigara yale hazina tofauti. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijawahi kuvutiwa na klugerKluger ni mnyama kazi mzee baba. Gari ya kuvuruga pori kwa pori. Chaka to Chaka maana ziko zenye 4WD. Ukija kwenye comfort ziko vizuri hata highway unachanja nayo mbuga tu.
Kifupi ni gari ya kiume halafu ni multipurpose. Unavimbia mjini na kijijini.
Ha ha ha...team asali wapate ulaji[emoji38]Paundwe Tume ya uchunguzi yenye wajumbe 30 toka bara (Tanganyika) , 30 (Zanzibar) wachunguze chanzo cha ajali hii
Tatizo lipo kwa magari yanayotengenezwa Bara la Asia.Hivi Spacio ni 7 seater? Aaaah itakua mtoto alikua amepakatwa.
Kumbe eneo la Dumila limetokana na jina la Mt. Joseph Dumila. Anaonekana alikua mtakatifu sana.
Mimi nikiwa dereva, nikiona gari inakuja mbele yangu, naikwepa. Haitonigonga.
Hivi gari za siku hizi zinaundwa kwa materials gani, mbona zikipataga ajali zinapondeka sana?
Inawezekana Gari kupata hitilafu ikiwa kwenye mwendo ikahama Barabara, na kwa mazingira hayo ni vigumu sana kupata kwa hakika ni nini kilitokea unless kama mtagharamia utafiti wa hali ya juu kama unaofanyika kwa ajali za Ndege.....labda kama Gari itahama na kuingia tu porini bila kupata uharibifu mkubwa Fundi wa kawaida anaweza kugundua ni nini kilitokea, mfano hitilafu kwenye mfumo wa usukani au kupasuka kwa gurudumu n.k.Overtake ya blindspot hio hamna jipya, utagongana vipi na mwenzio kama upo site yako unless otherwise mwenye lorry awe alitanulia kwenye kona.
MaboxGari za sikuhizi zinawekewa body laini na hazina chassis. Zina frame tu ambayo ndio inafungwa fungwa na machuma chuma yote ya chini.
Ndio maana gari ikishafumuliwa sehemu ya engine tu ambako ndio pagumu yote inakuwa inaisha kabisa na kuchanika chanika.
Ndomana mm nna mwaka wa 15 bado natumia Nissan patrolNunua Vanguard ili uweze ku taste tofauti.