Ajali yaua watu wanne wa familia moja Morogoro

Sio kwamba gari ikijaza abiria full (kama hao watu sita ndani ya Spacio) inakua nzito... Stable?
Hakuna kitu kama hicho mkuu hiyo gari ni nyepesi sana nimeshuhudia ajali za hivyo kadhaa unakuta mtu upo slow anakupita kwa kasi akiamini ana uzito wa kutosha kumbe hakuna kitu na kumbuka zile gari nzito kama Navara na ndugu zake hatuziwezi kodi...hivi vipasso vitatatuua sana
 
Sidhani kama shida ni leseni za vichochoroni, shida ni uwezo mdogo wa kufikiri wa mtu mweusi,
 
Sidhani kama shida ni leseni za vichochoroni, shida ni uwezo mdogo wa kufikiri wa mtu mweusi,
Leseni ndio kila kitu watu wengi hawafati taratibu za kupata leseni za kwenda shule na wengi wanaamini wanaotakiwa kwenda shule ni wale wanaotaka C kuendesha bus mimi nipo Road muda mrefu naona makosa ya kizembe mpaka nasikitika na unakuta wamejaza watu ndani...
 
Mkuu ilo swali apo chini mimi pia niko kujiuliza apa, na sio gari Moja yaani magari Mengi sikuhizi yakipata Ajari yanapondeka pondeka sana, na yanaleta impact kubwa sana kwa waliomo ndani yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…