Ajenda za CHADEMA zilizojadiliwa Ikulu

Ajenda za CHADEMA zilizojadiliwa Ikulu

..Ccm ndio wenye polisi na mahakama.

..sasa walitakiwa wabebe vilio na hoja za mapolisi na mahakama dhidi ya Chadema.

..Ndivyo.maridhiano yanavyotaka. Cdm waeleze wamekosewa wapi. Ccm, mahakama, Polisi nao waeleze kilio chso na madukuduku yao dhidi ya Cdm.
Ajenda no. 4.
 
Kumbe walienda na Lawyer? Wako makini sana
1C749BA0-03D2-4563-AA29-D44C8D0C4C71.jpeg
 
..Ccm , polisi, mahakama, walipata wasaa wa kueleza madukuduku yao na jinsi walivyokosewa na Cdm?

..Maridhiano ni kwa ajili ya pande zilizokoseana. It is a two way process.
Bila shaka na wao walitoa yao.
 
..Ccm ndio wenye polisi na mahakama.

..sasa walitakiwa wabebe vilio na hoja za mapolisi na mahakama dhidi ya Chadema.

..Ndivyo.maridhiano yanavyotaka. Cdm waeleze wamekosewa wapi. Ccm, mahakama, Polisi nao waeleze kilio chso na madukuduku yao dhidi ya Cdm.
Nadhani kuna mkanganyiko katika majadiliano haya ya CHADEMA na serikali? CCM?

Maridhiano - CHADEMA wanaridhiana na nani? Serikali na vyombo vyake vya ukandamizaji na kunyimwa HAKI yao ya kufanya siasa? au wanaridhiana na CCM?
CCM imefanya nini hadi waridhiane nao, au wao CHADEMA wamefanya nini kinachohitajiwa na CCM pawepo na maridhiano kati yao?
 
..Ccm , polisi, mahakama, walipata wasaa wa kueleza madukuduku yao na jinsi walivyokosewa na Cdm?

..Maridhiano ni kwa ajili ya pande zilizokoseana. It is a two way process.
Haya ni maridhiano kati ya Chadema na CCM, yapo mengine yanayoendelea kati ya TCD na vyombo vya dola labda tunachanganya.
 
Hadaa ya Samia ipo hapa.

Yeye hataki kuzungumzia chochote kuhusu vikao hivi kwa sababu maalum. Lakini wakati huo huo anafanya mambo yanayoonekana kuwa kinyume na yale yanayosemwa na CHADEMA.
Huu ndio "ujanja ujanja wanaopaswa kuweka umakini mkubwa CHADEMA, kwa sababu mwisho wa siku watatupiwa lawama kuwa wao ndio hawataki maridhiano..
Ni hivi , Tumeingia kwenye mambo haya kwa lengo la kupigania ajenda zetu lakini lingine tunalolifanya ni kukusanya Ushahidi wa Uvumilivu wetu , ambao sasa umefika mwisho , vikao hivi visipotoka na Katiba mpya , Tume huru na uwanja sawa wa mikutano ya hadhara INAWEZA KUWA NDIO MWISHO WA NCHI HII
 
1. Upatikanaji wa katiba mpya.
2. Tume huru ya uchaguzi,
3. Zuio la mikutano ya hadhara.
4. Makovu ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
5. Suala la wabunge 19 wa viti maalum.
6. Suala la ruzuku,
7. Usawa wa vyama vya siasa,
8. Watu waliochukuliwa hatua za kisheria kwa sababu za kisiasa.
9. Wakimbizi wa kisiasa waliokimbilia nje ya nchi.

Lengo kubwa la majadiliano hayo ni kuimarisha demokrasia na hali ya kisiasa nchini.

CHADEMA kiliwakilishwa na Mwenyekiti Freeman Mbowe, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, Said Issa Mohammed, John Mnyika (Katibu Mkuu), na Katibu Mkuu wa BAWACHA, Catherine Ruge.

Ujumbe wa CCM ulimjumuisha Mwenyekiti wa CCM, Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Abdulrahman Kinana, Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka.
Hiyo namba 5
 
Ninakubaliana nawe, ila binafsi ningeondoa maneno sita ya mwisho mstari wa pili.
 
1. Upatikanaji wa katiba mpya.
2. Tume huru ya uchaguzi,
3. Zuio la mikutano ya hadhara.
4. Makovu ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
5. Suala la wabunge 19 wa viti maalum.
6. Suala la ruzuku,
7. Usawa wa vyama vya siasa,
8. Watu waliochukuliwa hatua za kisheria kwa sababu za kisiasa.
9. Wakimbizi wa kisiasa waliokimbilia nje ya nchi.

Lengo kubwa la majadiliano hayo ni kuimarisha demokrasia na hali ya kisiasa nchini.

CHADEMA kiliwakilishwa na Mwenyekiti Freeman Mbowe, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, Said Issa Mohammed, John Mnyika (Katibu Mkuu), na Katibu Mkuu wa BAWACHA, Catherine Ruge.

Ujumbe wa CCM ulimjumuisha Mwenyekiti wa CCM, Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Abdulrahman Kinana, Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka.
JK kama hakuwepo Maza hawezi kunijibu CDM
 
Kwenye suala la akina Halima, mnamuomba Rais avunje Sheria aingilie muhimili wa mahakama? Sasa zamu yenu kuomba maelekezo kutoka juu kwenye maamuzi ya mahakama zetu?
Hakuna kuingilia mahakama, ila haki itendeke mahakamani. Samia asiweke mkono wake pale wa kuleta delaying tactics, only that!
 
Tunashukuru mkuu kwa taarifa
Ni agenda nzuri Kama kweli ndizo zilizojadiliwa
hujaweka chanzo cha taarifa
Au chama hakina Tena idara ya habari ?
Ingawa kuanzia no 2. naona agenda nyingi zinahusu Mambo ya chama na zinahitaji muda kushughulikiwa

Wakati mwingine ni vyema mkaweka na agenda zinazogusa wananchi moja kwa moja kwa wakati huu na mapendekezo ya suluhisho mbadala
 
1. Upatikanaji wa katiba mpya.
2. Tume huru ya uchaguzi,
3. Zuio la mikutano ya hadhara.
4. Makovu ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
5. Suala la wabunge 19 wa viti maalum.
6. Suala la ruzuku,
7. Usawa wa vyama vya siasa,
8. Watu waliochukuliwa hatua za kisheria kwa sababu za kisiasa.
9. Wakimbizi wa kisiasa waliokimbilia nje ya nchi.

Lengo kubwa la majadiliano hayo ni kuimarisha demokrasia na hali ya kisiasa nchini.

CHADEMA kiliwakilishwa na Mwenyekiti Freeman Mbowe, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, Said Issa Mohammed, John Mnyika (Katibu Mkuu), na Katibu Mkuu wa BAWACHA, Catherine Ruge.

Ujumbe wa CCM ulimjumuisha Mwenyekiti wa CCM, Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Abdulrahman Kinana, Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka.
Si mpaka ccm wakubali vinginevyo mtakuwa mnenda kunywa juice na kurudi.
 
Mkuu umemsahau Heche, nilimuona pale.
 
Back
Top Bottom