Ajenda za CHADEMA zilizojadiliwa Ikulu

Ajenda za CHADEMA zilizojadiliwa Ikulu

Tumesahau zile zama za JK?
JK alikuwa akiona wanampigia sana kelele anawaita IKULU, anawapiga chai ya nguvu na Bahasha juu. Wakirudi wanakuwa wapole kama maji ya mtungini.
 
Hakuna kuingilia mahakama, ila haki itendeke mahakamani. Samia asiweke mkono wake pale wa kuleta delaying tactics, only that!
Spika aliweka kiburi kutoifuta KATIBA...aliye juu mkatie JUU yake....
 
Kwenye suala la akina Halima, mnamuomba Rais avunje Sheria aingilie muhimili wa mahakama? Sasa zamu yenu kuomba maelekezo kutoka juu kwenye maamuzi ya mahakama zetu?

Akili kisoda!! Unaweza kuthibitisha kuwa Chadema wameomba Rais aingilie mahakama?? Taarifa ya uzi huu inaonesha kuwa swala hilo lilikuwa ni agenda, hilo swala la ombi kwa Rais ni lako wewe!

Jikite kwenye mambo unayoyafahamu. Opinions, thoughts, conspiracies hazitakusaidia.
 
Back
Top Bottom