Ajenda za CHADEMA zilizojadiliwa Ikulu

Ajenda no. 4.
 
..Ccm , polisi, mahakama, walipata wasaa wa kueleza madukuduku yao na jinsi walivyokosewa na Cdm?

..Maridhiano ni kwa ajili ya pande zilizokoseana. It is a two way process.
Bila shaka na wao walitoa yao.
 
Nadhani kuna mkanganyiko katika majadiliano haya ya CHADEMA na serikali? CCM?

Maridhiano - CHADEMA wanaridhiana na nani? Serikali na vyombo vyake vya ukandamizaji na kunyimwa HAKI yao ya kufanya siasa? au wanaridhiana na CCM?
CCM imefanya nini hadi waridhiane nao, au wao CHADEMA wamefanya nini kinachohitajiwa na CCM pawepo na maridhiano kati yao?
 
..Ccm , polisi, mahakama, walipata wasaa wa kueleza madukuduku yao na jinsi walivyokosewa na Cdm?

..Maridhiano ni kwa ajili ya pande zilizokoseana. It is a two way process.
Haya ni maridhiano kati ya Chadema na CCM, yapo mengine yanayoendelea kati ya TCD na vyombo vya dola labda tunachanganya.
 
Ni hivi , Tumeingia kwenye mambo haya kwa lengo la kupigania ajenda zetu lakini lingine tunalolifanya ni kukusanya Ushahidi wa Uvumilivu wetu , ambao sasa umefika mwisho , vikao hivi visipotoka na Katiba mpya , Tume huru na uwanja sawa wa mikutano ya hadhara INAWEZA KUWA NDIO MWISHO WA NCHI HII
 
Hiyo namba 5
 
Ninakubaliana nawe, ila binafsi ningeondoa maneno sita ya mwisho mstari wa pili.
 
JK kama hakuwepo Maza hawezi kunijibu CDM
 
Kwenye suala la akina Halima, mnamuomba Rais avunje Sheria aingilie muhimili wa mahakama? Sasa zamu yenu kuomba maelekezo kutoka juu kwenye maamuzi ya mahakama zetu?
Hakuna kuingilia mahakama, ila haki itendeke mahakamani. Samia asiweke mkono wake pale wa kuleta delaying tactics, only that!
 
Tunashukuru mkuu kwa taarifa
Ni agenda nzuri Kama kweli ndizo zilizojadiliwa
hujaweka chanzo cha taarifa
Au chama hakina Tena idara ya habari ?
Ingawa kuanzia no 2. naona agenda nyingi zinahusu Mambo ya chama na zinahitaji muda kushughulikiwa

Wakati mwingine ni vyema mkaweka na agenda zinazogusa wananchi moja kwa moja kwa wakati huu na mapendekezo ya suluhisho mbadala
 
Si mpaka ccm wakubali vinginevyo mtakuwa mnenda kunywa juice na kurudi.
 
Mkuu umemsahau Heche, nilimuona pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…