Unajua lilivyokuwa presented kwenye huo mkutano? Kwanini ung'ake kwa hasira kwa jambo ambalo hukusikiliza mwanzo mwisho?Chadema bure kabisa
Mnataka Rais aingilie Mahakama kuwakandamiza Covid 19?
Katiba imevunjwa hata kabla ya suala lenyewe kupelekwa mahakamani!Kwenye suala la akina Halima, mnamuomba Rais avunje Sheria aingilie muhimili wa mahakama? Sasa zamu yenu kuomba maelekezo kutoka juu kwenye maamuzi ya mahakama zetu?
Kama kweli mnaheshimu mamlaka ya mahakama na mnaataka Jambo hili limalizikie huko, kulikua na sababu gani ya kuliweka kuwa sehemu ya agenda za kikao chenu na Mh Rais?Hakuna kuingilia mahakama, ila haki itendeke mahakamani. Samia asiweke mkono wake pale wa kuleta delaying tactics, only that!
Chadema Kama chama kinachotetea haki, hakipaswi kuwa sehemu ya vyama vinavyoamini katika nguvu ya Maelekezo kutoka juu Kama msingi mkuu wa kupata haki.Mbona hukusema aliposema wenzie Mbowe walishafungwa wakati kesi ikiwa mahakama
Kwani mateka wa serikali kina Mdee wana kauli?Kwani serikali ndiyo imepeleka hiyo kesi mahakamani?
Maazimio yako wapi?
Yaani mwisho wa kikao wakatoka na kitu gani cha kufanyia kazi kwa pamoja?
Au ndiyo yaleyale ya "Rais amesikia na atayafanyia kazi yaliyojadiliwa kwenye kikao hicho..?"
Kama ni hivi, basi hivi vinavyoendelea huko haviwezi kuitwa vikao vya majadiliano na maridhiano..!
Majadiliano & maridhiano maana yake, kila mtu anaweka mezani makwazo (grievances) zake, yanajadiliwa kwa pamoja, mnakubaliana tuache lipi na tuende mbele na lipi kwa pamoja..
Na mwisho kila upande unaondoka na kuanza kutekeleza makubaliano...
Je, hiki ndicho kinacho/kitakachofanyika kupitia vikao vyao hivi?
Ni kweli..Hicho kikao Lissu alihitajika sana
Hoja nzito sn1. Upatikanaji wa katiba mpya.
2. Tume huru ya uchaguzi,
3. Zuio la mikutano ya hadhara.
4. Makovu ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
5. Suala la wabunge 19 wa viti maalum.
6. Suala la ruzuku,
7. Usawa wa vyama vya siasa,
8. Watu waliochukuliwa hatua za kisheria kwa sababu za kisiasa.
9. Wakimbizi wa kisiasa waliokimbilia nje ya nchi.
Lengo kubwa la majadiliano hayo ni kuimarisha demokrasia na hali ya kisiasa nchini.
CHADEMA kiliwakilishwa na Mwenyekiti Freeman Mbowe, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, Said Issa Mohammed, John Mnyika (Katibu Mkuu), na Katibu Mkuu wa BAWACHA, Catherine Ruge.
Ujumbe wa CCM ulimjumuisha Mwenyekiti wa CCM, Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Abdulrahman Kinana, Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka.
Kwisha habari yaoMskini CDM. Wapi Dr. Slaa,Prof Mkumbo na Zito.
Hivi swala la wabunge 19 linawaumiza Nini wao? Kama wako Bungeni na kazi yao ya kuwafuta uanachama wamesha wafuta basi swala la kwao limeisha, juhudi za hawa 19 kuendelea na kazi ili wapate mishahara walee familia zao linawahusu nini?1. Upatikanaji wa katiba mpya.
2. Tume huru ya uchaguzi,
3. Zuio la mikutano ya hadhara.
4. Makovu ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
5. Suala la wabunge 19 wa viti maalum.
6. Suala la ruzuku,
7. Usawa wa vyama vya siasa,
8. Watu waliochukuliwa hatua za kisheria kwa sababu za kisiasa.
9. Wakimbizi wa kisiasa waliokimbilia nje ya nchi.
Lengo kubwa la majadiliano hayo ni kuimarisha demokrasia na hali ya kisiasa nchini.
CHADEMA kiliwakilishwa na Mwenyekiti Freeman Mbowe, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, Said Issa Mohammed, John Mnyika (Katibu Mkuu), na Katibu Mkuu wa BAWACHA, Catherine Ruge.
Ujumbe wa CCM ulimjumuisha Mwenyekiti wa CCM, Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Abdulrahman Kinana, Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka.
Hoja za msingi zote,tunasubiri kwa hamu matokeo ya mjadala.1. Upatikanaji wa katiba mpya.
2. Tume huru ya uchaguzi,
3. Zuio la mikutano ya hadhara.
4. Makovu ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
5. Suala la wabunge 19 wa viti maalum.
6. Suala la ruzuku,
7. Usawa wa vyama vya siasa,
8. Watu waliochukuliwa hatua za kisheria kwa sababu za kisiasa.
9. Wakimbizi wa kisiasa waliokimbilia nje ya nchi.
Lengo kubwa la majadiliano hayo ni kuimarisha demokrasia na hali ya kisiasa nchini.
CHADEMA kiliwakilishwa na Mwenyekiti Freeman Mbowe, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, Said Issa Mohammed, John Mnyika (Katibu Mkuu), na Katibu Mkuu wa BAWACHA, Catherine Ruge.
Ujumbe wa CCM ulimjumuisha Mwenyekiti wa CCM, Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Abdulrahman Kinana, Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka.
Mahakama na utii wa sheria ni vitu viwili tofauti.Mdee na wenzake siyo wanachama wa CDM,kisheria siyo wabunge mpaka mahakama itakapowarudishia uanachama wao.Kwenye suala la akina Halima, mnamuomba Rais avunje Sheria aingilie muhimili wa mahakama? Sasa zamu yenu kuomba maelekezo kutoka juu kwenye maamuzi ya mahakama zetu?
suala la covid si la mahakama, ni suala lililo wazi kabisa kwamba CCM hawataki kuwaachilia kwa hiyo wanatumia Mahakama kama kinga.Chadema bure kabisa
Mnataka Rais aingilie Mahakama kuwakandamiza Covid 19?
Rais ndio mkuu wa mihimili yote wacha ushamba kwani mbowe katolewa na nani c huyo huyo rais samia na hao wote waliowekwa ndani na kesi zao zikawa hazimaliziki wakati wa magufuli na mahakama zilikuwepo lakini zilikuwa hazifanyi kazi kutokana na amri kutoka kwa magufuli.Chadema bure kabisa
Mnataka Rais aingilie Mahakama kuwakandamiza Covid 19?
1. Upatikanaji wa katiba mpya.
2. Tume huru ya uchaguzi,
3. Zuio la mikutano ya hadhara.
4. Makovu ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
5. Suala la wabunge 19 wa viti maalum.
6. Suala la ruzuku,
7. Usawa wa vyama vya siasa,
8. Watu waliochukuliwa hatua za kisheria kwa sababu za kisiasa.
9. Wakimbizi wa kisiasa waliokimbilia nje ya nchi.
Lengo kubwa la majadiliano hayo ni kuimarisha demokrasia na hali ya kisiasa nchini.
CHADEMA kiliwakilishwa na Mwenyekiti Freeman Mbowe, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, Said Issa Mohammed, John Mnyika (Katibu Mkuu), na Katibu Mkuu wa BAWACHA, Catherine Ruge.
Ujumbe wa CCM ulimjumuisha Mwenyekiti wa CCM, Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Abdulrahman Kinana, Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka.
Pale ilikuwa safu ya CCM, sio serikali...Na agenda za serikali zilikuwa ni nini?