Ajifungua Akiwa Safarini Kwenye Basi Kampuni ya Katarama

Ni kos kisheria kupakia au kumpakia mama mwenye ujauzito wa miezi Tisa...fikiria kama asingepata usaidizi nn kingetokea
 
Nice. Ukute alilazimishwa akajifungue ukweni dakika za mwisho mwisho bila kujali hali yake hairuhusu kusafiri masafa marefu
 
Huo ni uzembe na hatari sana.huyo mama alitakiwa asisafiri akiwa anajua amekaribia kujifingua.yaani unajua kabisa umekaribia halafu unasafiri safari kutoka dar Hadi bukoba ya siku mbili?Ingekuwa ndege sawa lakini siyo hii mikweche ya kurusharusha mwili.
 
Ndege Huwa zinatoa life time ticket Kwa Kichanga,na wao wampe
 
Upo nyuma sana kwenye kufuatilia habari kijana wangu!.

Usitegemee JF pekee, mara moja moja uwe unaingia hata X.
Ulitakiwa kujibu swali badala ya kuleta utito wa kujifanya ni mfiatiliaji.
Mimi nifuatilie habari ya hilo basi iliishaje inanihusu nini? Habari kama hizo inatakiwa kukutana nazo either mutandaoni au ukiwa msafiri, siyo kushinda mitandaoni kuzifuatilia.

Yaani kwa akili zako umeweka kabisa notification ya kufuatilia habari za basi la Kantaramba? Halafu unajitutumua kujiina una ka umri
 
Kuna shida

Mama hakujua amefikia muda wa kujifungua?
Shida ipo kubwa sana. Ni vile amejifungua salama.
Hilo ni kosa kubwa mama amelifanya.
Makadirio ya siku zake za kujifungua hakuyajua?

Wakina mama wengi wanapuuzia elimu ya kliniki kuhusu kujifungua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…