Ajinyonga kwa kutotajwa na Padri kwenye misa ya Shukrani

Msala kwa TTCL.

Ila kmmkk me kujinyonga sio leo au kesho.

Maisha magumu ila aisee kiporo cha wali ma maharage kitamu.
 
Roho ya mkwawa..
 
Ilikua ngumu kwa padri kutaja jina la baba akati padri anajua yule ni mwanae yeye pengine
 
RFA mmepotosha,. Moravian hawana padri alafu kuhusu kujinyonga Kwa Huyo jamaa (Kwa asilimia kubwa alikuwa anaandamwa na pepo la kifo.apumzike Kwa amani

Sent using Jamii Forums mobile app
Hio taarifa imetolewa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe,na yeye ndio kasema padri,kwahio aulizwe Kamanda
 
Na mimi najua hivyo.Sasa mtoa Post ametoa wapi Padri wa Wamoraviani?.
Hio ni taarifa ya Kamanda wa Polisi,ina maana si kafanya uchunguzi akagundua padri ndio hakutaja jina[emoji38]
 
Msala kwa TTCL.

Ila kmmkk me kujinyonga sio leo au kesho.

Maisha magumu ila aisee kiporo cha wali ma maharage kitamu.
Usirudie kuapa ndugu.

Shetani huwa anapenda sana kujaribu
 
Padri ndiye mchungaji,nendeni kwenye page ya Askofu Emmaus Mwamakula FB katoa somo kuhusu neno Padri na Mchungaji.
 
Inaelekea nyumbani kuna mengi yalikua yanaendelea yaliyosababisha baba kukosa kujiamini. Communication is a key to any active relationship.
 
Kuna ushahidi gani kuwa sababu ya kujinyonga ni kutotajwa na Padri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…