Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tunaomba pdfMfumo umekaa poa ss, nishafanikiwa kutuma mzigo
Umetumia PC! Kwa simu site iko busy sana! Mashine yangu inajizima tu! Dah.Mfumo umekaa poa ss, nishafanikiwa kutuma mzigo
hapo unakuja kushtuka mikoa yote ya karibu ishajaaUmetumia PC! Kwa simu site iko busy sana! Mashine yangu inajizima tu! Dah.
Msaada mkuu, nafanyaje aisee!hapo unakuja kushtuka mikoa yote ya karibu ishajaa
Wewe umetumia mfumo gani ambao umefungukaMfumo umekaa poa ss, nishafanikiwa kutuma mzigo
Usijiroge mwenyewe...OMBA acha kulialiabado mambo si mambo, walimu 9,800 tu kwa msingi, sekondari, vyuo sijui, ulemavu n.k ni idadi ndogo sana. Katanga kwangu tu (kata inayoonekana ina ahueni) kuna upungufu wa zaidi ya walimu ishirini.....upungufu wa wazi kabisa unaoonekana!
Hako kaidadi kanaishia tu hukohuko kwenye connection za wakurugenzi wa tamisemi, huku mtaani tutasindikiza tu!!
Kuomba lazima, ila idadi hiyo ni ndogo mnooooo, huku mtaani kiongozi kuna walimu zaidi ya laki mbili wanasubiria.......Usijiroge mwenyewe...OMBA acha kulialia
We omba utapata.Kuomba lazima, ila idadi hiyo ni ndogo mnooooo, huku mtaani kiongozi kuna walimu zaidi ya laki mbili wanasubiria.......
Mfumo wa kuomba ajira ulifunguka usiku ila sasa haufunguki, nadhani watarekebisha we andaa mazaga, ukifunguka unatupia tu.Wakuu salaam [emoji112],
Kwa mdau aliyefanikiwa kutuma maombi, tunaomba share uzoefu wako wa hatua mbalimbali na changamoto ulizokutana nazo. Lengo ni kusaidia wengine ambao ndio wanaanza.
Binafsi naona mtandao unasumbua sana, nimekaa zaidi ya lisaa nasubiri ufunguke lakini bado.
Natanguliza shukrani [emoji120]
Mfumo wenyewe umefunguliwa?Wakuu salaam [emoji112],
Kwa mdau aliyefanikiwa kutuma maombi, tunaomba share uzoefu wako wa hatua mbalimbali na changamoto ulizokutana nazo. Lengo ni kusaidia wengine ambao ndio wanaanza.
Binafsi naona mtandao unasumbua sana, nimekaa zaidi ya lisaa nasubiri ufunguke lakini bado.
Natanguliza shukrani [emoji120]