Ajira 17,412 kwa kada za Elimu na Afya zatangazwa. Wananchi wenye sifa wahimizwa kuomba nafasi

Ajira 17,412 kwa kada za Elimu na Afya zatangazwa. Wananchi wenye sifa wahimizwa kuomba nafasi

Wapendwa mabibi na Mabwana Tamisemi Wameachia tangazo la ajira za Ualimu na kada ya afya. Mwisho wa kuomba 04.May.2022 saa 23:59 wenye ulemavu wowote wapeleke maombi yao ( hard copy) kwa katibu mkuu ofisi ya waziri mkuu aione mkurugenzi mkuu kitengo cha wenye Ulemavu.

Wengine: kazi iendeleee huku ajira . tamisemi. go.tz

Wazee wa kujilipua nifanye nipate nafasi hizi baada ya kutumaa maombi ???View attachment TANGAZO LA AJIRA - UALIMU NA AFYA - TAMISEMI 2022.pdf
 
Naam watu wajaribu bahati zao.

All the best teachers.
 
bado mambo si mambo, walimu 9,800 tu kwa msingi, sekondari, vyuo sijui, ulemavu n.k ni idadi ndogo sana. Katata kangu tu (kata inayoonekana ina ahueni) kuna upungufu wa zaidi ya walimu ishirini.....upungufu wa wazi kabisa unaoonekana!
Hako kaidadi kanaishia tu hukohuko kwenye connection za wakurugenzi wa tamisemi, huku mtaani tutasindikiza tu!!
 
bado mambo si mambo, walimu 9,800 tu kwa msingi, sekondari, vyuo sijui, ulemavu n.k ni idadi ndogo sana. Katanga kwangu tu (kata inayoonekana ina ahueni) kuna upungufu wa zaidi ya walimu ishirini.....upungufu wa wazi kabisa unaoonekana!
Hako kaidadi kanaishia tu hukohuko kwenye connection za wakurugenzi wa tamisemi, huku mtaani tutasindikiza tu!!
Usijiroge mwenyewe...OMBA acha kulialia
 
Wakuu salaam 👋,

Kwa mdau aliyefanikiwa kutuma maombi, tunaomba share uzoefu wako wa hatua mbalimbali na changamoto ulizokutana nazo. Lengo ni kusaidia wengine ambao ndio wanaanza.

Binafsi naona mtandao unasumbua sana, nimekaa zaidi ya lisaa nasubiri ufunguke lakini bado.

Natanguliza shukrani 🙏
 
Wakuu salaam [emoji112],

Natanguliza shukrani [emoji120]
Mfumo wa kuomba ajira ulifunguka usiku ila sasa haufunguki, nadhani watarekebisha we andaa mazaga, ukifunguka unatupia tu.
 
Hii nchi ubabaishaji mwingi sana...
Waziri mzima unatoa matamko ambayo hayajathibiti!
Tangazo linasema wamefungulia dirisha la kutuma maombi kuanzia tarehe 20/04 lakin cha ajabu hadi sasa mfumo umefungwa!

Nashauri mamlaka zetu ziwe zinafanya maandalizi ya kutosha kwanza na kuhakikisha kila kitu kiko sawa ikiwemo mfumo wenyewe kabla ya kutoa matamko/press release za kisenge kama hizi
 
Wakuu salaam [emoji112],

Kwa mdau aliyefanikiwa kutuma maombi, tunaomba share uzoefu wako wa hatua mbalimbali na changamoto ulizokutana nazo. Lengo ni kusaidia wengine ambao ndio wanaanza.

Binafsi naona mtandao unasumbua sana, nimekaa zaidi ya lisaa nasubiri ufunguke lakini bado.

Natanguliza shukrani [emoji120]
Mfumo wenyewe umefunguliwa?
 
Back
Top Bottom