Naomba kuuliza experience ni lazima uijaze kwenye portal yao au?Weka kwenye CV au attach page ya kwanza kabisa ikiwa na vyeti vyako.
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba kuuliza experience ni lazima uijaze kwenye portal yao au?Weka kwenye CV au attach page ya kwanza kabisa ikiwa na vyeti vyako.
Inategemea version ya chrome kama ni updated itazingua ku-uploadnimetumia crome ipo poa na nimemaliza link yao yenyewe ukiicliki inalazimisha kufungukia crom kama ipo kwenye pc
Naomba kuuliza experience ni lazima uijaze kwenye portal yao au?
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Sema haikuekewa nyota kama ni lazimaAs long kuna option ya kujaza wewe jaza mkuu
ni lazima hakuna option zaidi ya hio itakusaidiaAs long kuna option ya kujaza wewe jaza mkuu
Pole, nadhani ukishatuma hakuna kurudi nyuma.. labda ujaribu kutuma tena uwe na double applicationWakuu msaada kuna mtu nilikuwa namfanyia applocation tra. Kila kitu chake nimejaza vizuri vipengele vyote ila Bahati mbaya sana kwenye upande wa position nimeweka position isiyo sahihi na attachment ya vyeti vyote nimeattach sio vya kwake.
Pole, nadhani ukishatuma hakuna kurudi nyuma.. labda ujaribu kutuma tena uwe na double application
picha tunaweka sehemu gani wakuu
Kuhusu picha usiwe na shaka usiweke mahal popote, tuliongea na n customer care wa tra wakasema kwasasa tunaweza tukaacha kuweka picha hadi hapo badae watakapo weka hiyo option ya picha kwa sasa kamilisha taarifa zote muhimpicha tunaweka sehemu gani wakuu?
Hata Mimi nimeshindwa kuelewa ,wakati wa kujaza sioni sehemu ya kujaza GPA lakini nikipreview detail zangu naona inaonyesha hivyo msaada tafadhali.jaman apa GPA naweka wapi
View attachment 2644799
Ni advantage ukishapata.Naomba kuuliza ukiwa na ndoa ni advantage au disadvantage kwenye hizi application
Kwani ulishafanikiwa ku log in kwa mara ulipojisajili?shukrani sana kwenye email inagoma nkiweka password zangu