Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Wadau, tarehe 28 May Utumishi walitangaza nafasi za kazi kwa watanzania kada mbalimbali ILA Kuna kitu kimenichanganya hapa kama ifuatavyo:
Haya matangazo yanaonesha yako mawili na hata idadi ya Ajira zinatofautiana, Kuna tangazo moja lina posts 1904 total na tangazo la pili lina posts 2057.
So Binafsi nashindwa kuelewa hapa, Why matangazo wametoa mawili na nafasi ni tofauti japo Kumb No: ya matangazo yote ni sawa/moja.
Pia nimejaribu kufuatilia content za humu ndani kwa Kila tangazo kweli posts ziko tofautitofauti kulingana na vitengo husika..
Nimeweka na ushahidi wa picha hapa na pdf maana Uzi bila picha haunogi.
Utumishi nipeni maelezo hapa, hizi Ajira mpya mlizotoa idadi kamili zipo 1904 au 2057 au 3963 Jumla?
Na kama ziko 3963 kwanini msitoe kwenye Tangazo moja?