Ajira mpya za walimu, pesa za kujikimu

Status
Not open for further replies.
Yaani mwalimu hujaajuriwa unaanza kuwa na mashaka na kudhulumiwa hela zako?
Kwanza upate ajira,
pili upate mshahara.
Mengine siyo ya msingi sana.
Karibu kwenye fani tukufu mwalimu.
 
Tatizo elimu imefanya watu kutegemea kuajiriwa kuliko kujiajiri.... Hahaaaaa walimu walikuwa wanatucheka sana chuo now naona ngoma droo...

ndo tulivozoeshwa......ngoma haiwezi kua droo soon tutaajiriwa ......tangu naanza first yr hadi leo naona watu wanazunguka na bahasha hadi leo na wengine wameamua tu kuanza upya kusoma na wanasomea ualimu
 
kesho azitoki tusidanganyane sekta usika aijatoa tamko lolote zaidi tujilidhishe kua zinatoka kesho afu kesho tena teh!
 

Hakuna Amani Wala Bib Yake Iman Escrow 2pu,
 
Last edited by a moderator:
wadau wiki hii ikipita bila majina kutolewa, naona ni bora tupigane na polis hadi kwa kawambwa, ndugu zetu wa diploma na cheti wanajuwa kutengeneza vibomu,watakuwa msitari wa mbele hadi kwa kawambwa, maana haya maccm yanakera na yanachosha pia
 
wadau wiki hii ikipita bila majina kutolewa, naona ni bora tupigane na polis hadi kwa kawambwa, ndugu zetu wa diploma na cheti wanajuwa kutengeneza vibomu,watakuwa msitari wa mbele hadi kwa kawambwa, maana haya maccm yanakera na yanachosha pia

Tatizo waalimu hawana msimamo... Ccm itawatesa mpaka basi.... Ukwel ajira hakuna na hata budget allocation haijatoka kwa wahisani!!! Duuh teachers Ndio hivyo vuten subira had October!!!!
 
Yani bahati waliyonayo hawa walimu enzi zetu hatukuwa nayo kabisa,mitandao inawabeba sana lakini hawajielewi wamekaa kulialia tu. Wameshindwa kuunganisha nguvu na kudai haki yao pumbavu sana mtasubiri sana kwa kudanganyana tu kila siku.
 
iv muda kabisa wa serikali kuajiri n kuanzia mwez wa ngap had ngap??
 
iv muda kabisa wa serikali kuajiri n kuanzia mwez wa ngap had ngap??
Kwa kawaida huwa ni katikati ya mwezi wa 2. Mwaka jana ilitokea dosari wakatoa katikati ya mwezi wa 3, kwa mwaka huu hali ya sintofahamu imejitokeza kwakua tarehe ya katikati ya mwezi imeshapita, yaani tarehe kati ya 15-16
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…