Serikali ya Zanzibar Juzi pia ilisema kuna wahamiaji haramu wengi kutoka Tanganyika (Tanzania Bara)
 
Wana CDF?
Miongoni mwa Vigezo vya Sehemu Mahalia Kuitwa Nchi, CDF ni kigezo Mojawapo??

Kwa Mujibu wa Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 inaitambua zanzibar kama Nchi..


Unafahamu Kweli Elimu ya Uraia Au sheria za Nchi za Kimataifa au Sheria za Kiutawala au Mikataba ya Jumuia ya Madola??

Kuna nchi ambazo hazina Title ya CDF ila zinaitwa Nchi..USA,UK,France,Switzerland,Russia ,China ,Germany, India na Japan...

Vipi kwakuwa na Zenyewe hazina Title ya CDF basi sio Nchi???
 
Tena wabara mlivyojazana Zanzibar inafaa mrudishwe kwenu haraka sana.

Mnajazana huko kuwaharibia Wazanzibari ustaarabu na Uislam wao tu. kama mlivyoiharibu Dar yetu njema.
 
Kwahiyo nikienda kuishi Zanzibar nitakua mzanzibari!
Hapana kuna Vigezo..
Ambazo Tutavipata kulingana na Katiba ya zanzibar ya mwaka 1984, Ibara ya 6 ibara ndogo ya 1, Ikisomwa pamoja na Sheria ya Mzanzibar
Sheria namba 5 ya mwaka 1984

Katiba


Sheria ya Mzanzibar (Sheria no 5 ya mwaka 1985)






Una swali ZAIDI MKUU??
 
Do you know the meaning of the Union of Changu changu, chako changu!! Tanganyika is being exploited by those shameless Parasites.
 
Unaweza kuzani vijana wa Zanzibar wote wana ajira kwakua ni kadogo kumbe ni unazani πŸ˜…πŸ˜…vilio kila kona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…