Tena ajira zote zinazotangazwa wanapewa kipaumbele kwa 21% .
 
Ikiwa Wazanzibari wanaruhusiwa kuapply kazi za Tanganyika, na wengi tu wameajiriwa huku Tanganyika, ni kwanini ajira za Zanzibar ziwekewe kigezo cha "Awe Mzanzibari"?

Mbona ajira za Tangayika zikitoka kigezo kinakuwa "Awe Mtanzania" (Haijalishi anatoka Tanganyika au Zanzibar)?

Hii kitu usoni watu wanaweza wakawa wanacheka lakini mioyoni mwao hawaifurahii kabisa.

Huu ni UBAGUZI wa wazi kabisa.

Ili nchi iweze kuwa moja na kuondoa ubaguzi, inabidi kuwepo na mchanganyiko wa pande zote 2, wa huku awe huru kwenda kule, na wa kule aje huku bila kuwepo ubaguzi wa aina yoyote ile.

Mbali na hapo, huu Muungano ni suala la muda tu, hautafikisha hata miaka 100 utavunjikia mbali.

 
mnatumia tu maneno bila kuelewa maana yake, inawezaje kuwa racism wakati sisi na hao unaowaita wanzanzibari ni the same race? >95% ya wakazi wa Zanzibar ni black people kama sisi, how can they be racist against wabara then wakati wote ni same race ?
 
Bara kuna Wazanzibar wengi sana wameajiriwa wizara ya afya. Afya siyo suala la Jamhuri
 
Mvatcan anaweza kuwa Muitaliano lakini huyo Muitaliano hawezi kuwa mvatcan
 
Si mnasemaga wazungu Wana ubaguzi sana , haya mnaweza kuona ubaguzi wa wazi wazi katika nchi Moja tena iliyoungana . Ukiwa USA mtu anatoka Texas anaajiliwa Alaska au Hawaii
 
Hawa jamaa ifike wakati waliopo Bara warudi kwao mambo mengine ni magumu kuvumilia
 
Kwa hiyo ungeitwa kwenye interview ukaulekezwa uongee chochote kuhusu race mfano wako ungeumuisha race ya wazanzibari, na wazanzibara!
 
Hawa mabapa
Hawa mabapa wanapendelewa sana, halafu walioko serikalini huku bara wana viburi na dharau sana, wengi wapo pale Tamisemi.
 
Zanzibar na Tanganyika ni km Hongkong na China Mainland
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…