Nyi wajinga hamuishi tu!!?.. hakuna tanganyika bali kuna zanzibar,rais wa tanganyika nani!?
 
Nani anayelazimisha muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar ?
 

Akivuka maji tunaajiri watanzania. Ukiwa kule ni wazanzibar tu. lakini kupanga ni kuchagua. Hakuna namna
 
Nani anayelazimisha muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar ?

Wazungu. Ndio maana radical, Lumumba was killed in DRC. Hapa waliandaa mazingira ya Tanganyika iikumbatie Zanzibar.Karume akapata wasiwasi...maana matapeli wanasema wasiwasi nayo akili.
Akasalimu amri hakuwa na namna.
 
Suluhisho la tatizo hili ni aidha kuunda Serikali moja tu ya Muungano au kuuvunja Muungano wenyewe ili kila upande ubaki na hamsini zake.
 
Lete ushahid nipp hapa kushuhudia
Tanganyika ni nchi huru, Zanzibar ni nchi huru.

Tanganyika na Zanzibar ziliungana 1964 na kuunda JMT.

Hong-Kong sio nchi huru ni sehemu ya china iliyokuwa koloni la Uingereza kwa kipindi fulani cha miaka baada ya muda mrefu ilirudishwa chini ya nchi ya China.

Hong-Kong kama ilivyo Macau koloni la ureno hizi sehemu zote mbili zimepewa kiwango cha juu cha uhuru cha kujitawala tofauti na maeneo mengine ya uchina ni kwa kipindi fulani cha miaka.
 
Ndio ujue sasa kuna mmoja anamng'ang'ania mwenzie ila mwenzie hamtaki.

Inshort serikali ziko mbili tu, serikali ya muungano na serikali ya Zanzibar, kwahiyo hakuna serikali ya Tanganyika nadhani ndio maana mnakosa wakuwatetea.
 
SISI TU MAFALA
 
Kila mzanzibar ni mtanzania lakini kila mtanzania sio mzanzibar.
Maana yake Mzanzibar ni Mtoto wa Baba wawili na Mama wawili Ila Mtanzania Bara ni Mtoto wa Baba mmoja na Mama mmoja, sijui unanielewa hapo?
 
Wazenji ni special group lazima wapewe kipaumbele kama huku bara tunavyowapa kipaumbele wanawake na watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…