Ema Jackson
Member
- Apr 6, 2024
- 16
- 18
ualimu ni wito, utakapopangiwa nenda ukafanye kazi kwa bidii na kuchochea mabadiliko katika kituo cha kazi utakachopangiwa 🐒1: wana JF naomba kuuliza kuhusu hizi ajira za ualimu zilizotangazwa kutoka kwa mwajiri ambaye ni MDAs na LGAs, je unaenda kufundisha wapi na level gani?
Pia
2: je kuna faida yeyote kwa mwalimu aliye chini ya Tamisemi kuomba kuhamia MDAs na LGAs
3: nini tofauti ya kufanya kazi Tamisemi au wizara ya elimu Vs MDAs au LGAs.
Naomba majibu yenu wana jf kabla sijaomba hizi kazi.
NB chini ni PDF ya hizo kazi
Nasubri majibu hapaUshauri mzuri lakini nahitaji kujua huyu mwajiri anakupeleka kuwa mwalimu wa level ipi na pia kuna watu ambao ni in-service chini ya Tamisemi lakini wanahitaji kuomba hizo kazi je maslahi yakoje huko Isije ikawa wanataka kwenda chini tu badala ya kwenda juu.
Naomba unitofautishie TAMISEMI na LGAs kwanza1: wana JF naomba kuuliza kuhusu hizi ajira za ualimu zilizotangazwa kutoka kwa mwajiri ambaye ni MDAs na LGAs, je unaenda kufundisha wapi na level gani?
Pia
2: je kuna faida yeyote kwa mwalimu aliye chini ya Tamisemi kuomba kuhamia MDAs na LGAs
3: nini tofauti ya kufanya kazi Tamisemi au wizara ya elimu Vs MDAs au LGAs.
Naomba majibu yenu wana jf kabla sijaomba hizi kazi.
NB chini ni PDF ya hizo kazi
Nimeshapata wasiwasi tangu mapema. Sidhani kama huyu ni mwalimu.Naomba unitofautishie TAMISEMI na LGAs kwanza
Tujibu maswali yaliyo ulizwa kujibu swali kwa swali kunaweza kusilete maana mleta maada kauliza tofauti ya Tamisemi au wizara ya elimu vs MDAs au LGAs afu naye anaulizwa swali hilo hiloNimeshapata wasiwasi tangu mapema. Sidhani kama huyu ni mwalimu.
Endapo ukiambiwa kajifunze kwanza maana ya TAMISEMI, Wizara, MDA and LGAs. Utasema umeonewa?Tujibu maswali yaliyo ulizwa kujibu swali kwa swali kunaweza kusilete maana mleta maada kauliza tofauti ya Tamisemi au wizara ya elimu vs MDAs au LGAs afu naye anaulizwa swali hilo hilo
Nikajifunze wapi, wakati nimeuliza wewe kama unajua jibu swali acha uswahiliEndapo ukiambiwa kajifunze kwanza maana ya TAMISEMI, Wizara, MDA and LGAs. Utasema umeonewa?
Sijui, ngoja wasio waswahili waje wakujibuNikajifunze wapi, wakati nimeuliza wewe kama unajua jibu swali acha uswahili
Mbona wameandika ata level ya mshahara daraja D kwenye kwa degree level ni hiyo hiyo anayolipwa aliyeko shule ya kata,kama kwenye ajira huna haja ya kuomba hizo hakuna ladha utakayobadilishaUshauri mzuri lakini nahitaji kujua huyu mwajiri anakupeleka kuwa mwalimu wa level ipi na pia kuna watu ambao ni in-service chini ya Tamisemi lakini wanahitaji kuomba hizo kazi je maslahi yakoje huko Isije ikawa wanataka kwenda chini tu badala ya kwenda juu.
Ni kitu kimojaNaomba unitofautishie TAMISEMI na LGAs kwanza
ItapendezaSijui, ngoja wasio waswahili waje wakujibu
mengine yote ya kwendra juu au chini, maslahi na huo utofauti sijui wa wizara na tamisemi utajifunza vizuri ukoje ukiwa kazini, na ndivyo mtu makini na mwenye maono ya mbali anaweza kufanya🐒Ushauri mzuri lakini nahitaji kujua huyu mwajiri anakupeleka kuwa mwalimu wa level ipi na pia kuna watu ambao ni in-service chini ya Tamisemi lakini wanahitaji kuomba hizo kazi je maslahi yakoje huko Isije ikawa wanataka kwenda chini tu badala ya kwenda juu.
Je kwa in-service anayetaka transfer kuwa chini ya MDAs kupitia ajira hizi unamshauri nini, maana mimi nimeulizwa ushauri kuhusu hili nikasema siijui vizuri MDAs na LGAs nikaishia kusema ingelikuwa wizara ya elimu wametangaza ningelimwambia aombe over Tamisemi lakini hii nimeshindwa kutoa mchango wangu kuhusu aombe transfer kutoka Tamisemi kwenda MDAs na LGAs kupitia ajira hizi iwe kama green pasture ya kusongea mbele.mengine yote ya kwendra juu au chini, maslahi na huo utofauti sijui wa wizara na tamisemi utajifunza vizuri ukoje ukiwa kazini, na ndivyo mtu makini na mwenye maono ya mbali anaweza kufanya🐒
kujifunza kwa ambao hawako , hawakueko huko au walio shindwa, zaidi sana utakata tamaa tu, utababaika na mwishowe muda utasonga utakosa sifa na vigezo vya kuajiriwa kwenye kada yako, utajuta 🐒
umesomea ualimu kwa mapenzi na chaguo lako, sasa tena unaanza kuringa kwamba ntapelekwa kufundisha level gani? kwan wew umesomea level gani?
nenda kazi, huko utaamua pia ubadili pia hata mfumo au kada ukijiendeleza zaidi kimasomo...
this is how visionary young civil servant always do 🐒
Umeulizwa au mhusika mkuu ni wewe?Je kwa in-service anayetaka transfer kuwa chini ya MDAs kupitia ajira hizi unamshauri nini, maana mimi nimeulizwa ushauri kuhusu hili nikasema siijui vizuri MDAs na LGAs nikaishia kusema ingelikuwa wizara ya elimu wametangaza ningelimwambia aombe over Tamisemi lakini hii nimeshindwa kutoa mchango wangu kuhusu aombe transfer kutoka Tamisemi kwenda MDAs na LGAs kupitia ajira hizi iwe kama green pasture ya kusongea mbele.
Hilo halikuhusu jibu swali la msingi mbona swali kwa swaliUmeulizwa au mhusika mkuu ni wewe?
Kwa kweliLazima walimu nao waanze kupiga paper za utumishi! Ndio zimeanza hivyo walimu mjiandae