Ajira za walimu: 5000 wasambazwa kwenye vituo vya kazi wiki mbili zilizopita

Ajira za walimu: 5000 wasambazwa kwenye vituo vya kazi wiki mbili zilizopita

msovero

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2019
Posts
929
Reaction score
1,764
Akijibu swali kuhusu uhaba wa walimu katika kipindi cha maswali kwa waziri leo bungeni, Mhe. Kassim Majaliwa amesema serikali inatambua tatizo la uhaba wa walimu mashuleni ndio maana wiki mbili zilizopita serikali imesambaza jumla ya walimu 5000 katika shule mbalimbali nchini.

 
Akijibu swali kuhusu uhaba wa walimu katika kipindi cha maswali kwa waziri leo bungeni, Mhe. Kassim majaliwa amesema serikali inatambua tatizo la uhaba wa walimu mashuleni ndio maana wiki mbili zilizopita serikali imesambaza jumla ya walimu 5000 katika shule mbali mbali nchini.
Wamesambazwa Nchini wapi huko? Uongo mwingine unaleta kinyaa.
 
Akijibu swali kuhusu uhaba wa walimu katika kipindi cha maswali kwa waziri leo bungeni, Mhe. Kassim majaliwa amesema serikali inatambua tatizo la uhaba wa walimu mashuleni ndio maana wiki mbili zilizopita serikali imesambaza jumla ya walimu 5000 katika shule mbali mbali nchini.
Tunaomba clip

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna shule X huku mikoani imemaliza kupokea mwalimu mpya nahisi ni kati ya hao 5000
Hao walimu 5000 waliajiriwa kwa utaratibu gani? Maana hiyo taarifa ina ukakasi maana kuna wahitimu wa 2015, 2016 na 2017 wamenyimwa ajira tangu magufuli alipoingia madarakani, halafu wanakuja kuajiriwa wale wa 2018!
 
Back
Top Bottom