Ajira za walimu: 5000 wasambazwa kwenye vituo vya kazi wiki mbili zilizopita

Kwa mfumo wa ajira sahv waliomaliza 2014,2015,2016 na 2017 kupata ajira ni kazi sanaa sababu wengi washasahau vitu vingi .....kulinganisha vijana wa 2018,2019 na 2020.na wakati wa usaili wanawekwa pamoja na mambo mengi yanaulizwa ni ya darasani hivyo memory ya vijana waliomaliza hivi karibuni iko karibu zaidi .

Ajira zingefuata mfumo wa mda watu wamemaliza.masomo ili kupunguza msongo wa mawazo maana unaweza kuta kijana uliyemfundisha tuition anapata ajira anakuwa na muelekeo wa maisha ilaaa ww bado unahangaika

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Wa 2015, 2016, 2017 wameajiriwa kwa miaka minne mfululizo! ina maana wenyewe hawaishi?
Hata hivyo mfumo wa random selection unaotumika ndio mzuri kwa sababu unatoa chances kwa kila mtu kupata ajira!
 
Tunaomba clip

Sent using Jamii Forums mobile app
Tayari mkuu
 
hii yaarifa naona Kama ya kupikwa.mbona hatujasikia zikitangazwa?
 
Akijibu swali kuhusu uhaba wa walimu katika kipindi cha maswali kwa waziri leo bungeni, Mhe. Kassim Majaliwa amesema serikali inatambua tatizo la uhaba wa walimu mashuleni ndio maana wiki mbili zilizopita serikali imesambaza jumla ya walimu 5000 katika shule mbali mbali nchini.
View attachment 1700003
Mhhh Lin wame sambaza
 
Hii nchi haina uhaba wa walimu, bali ina uhaba wa fedha za kuajiri walimu, tuweke maelezo vizuri,sawa?
 
Wa 2015, 2016, 2017 wameajiriwa kwa miaka minne mfululizo! ina maana wenyewe hawaishi?
Hata hivyo mfumo wa random selection unaotumika ndio mzuri kwa sababu unatoa chances kwa kila mtu kupata ajira!
Hujui tu na maanisha nini ,kuna watu ni waalimu wetu tuition tunakutana nao kwenye usaili tunawaacha hawajapata kazi kwa kufail usaili kisa yeye kamaliza 2014 Mimi 2019 na chuo nimesoma fani kama yake ,yeye kashasahau vitu kibao

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
"Leo wapo na kesho kuna wengine", ridhik ya mtu hupangwa na mungu, ukimfanyia figisu utakuwa unamchelewesha,,

Aliyeshiba hamkumbuki mwenye njaa
 
Serikali imesambaza walimu 1,000
Harafu inatuambia 5,000
Hayo ni mawazo yangu tu.
 
Serikali imesambaza walimu 1,000
Harafu inatuambia 5,000
Hayo ni mawazo yangu tu.
kama waliweza kushinda kwa ushindi wa kura feki hakuna chochote wanachoshindwa kufanya ama kuongopa.
cha msingi jiajiri tu maisha yasonge kusubiria ajira awamu hii utakufa kibudu
 
Kweli mkuu ila acha twende na slogan tu ya Mi🤜 tena
 
Wameajiri Kama walivyoajiri watendaji kata toka uvccm
 
Back
Top Bottom