Nchi ishaparanganyika hii , kila mmoja anapambana kivyake kikubwa uzima ...ukiugua pneumonia Tu ,madaktari na manesi wanakukimbia
Kutokuajiriwa wa 2016 hamfanyi wa 2018 na 2019 kutokuwa na haki ya kuajiriwa kila mtu apambane kivyake.Hao walimu 5000 waliajiriwa kwa utaratibu gani? Maana hiyo taarifa ina ukakasi maana kuna wahitimu wa 2015, 2016 na 2017 wamenyimwa ajira tangu magufuli alipoingia madarakani, halafu wanakuja kuajiriwa wale wa 2018!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]Kutokuajiriwa wa 2016 hamfanyi wa 2018 na 2019 kutokuwa na haki ya kuajiriwa kila mtu apambane kivyake.
Nakumbuka kuna siku ulijibu kama nilivyokujibu hapa kama utakuwa na kumbukumbu.
Kwa hiyo unalipa kisasi! Sawa. Ila hoja yangu hapa ni suala zima la kufuata utaratibu. Enzi za JK, wahitimu waliajiriwa kwa kufuata huu utaratibu.Kutokuajiriwa wa 2016 hamfanyi wa 2018 na 2019 kutokuwa na haki ya kuajiriwa kila mtu apambane kivyake.
Nakumbuka kuna siku ulijibu kama nilivyokujibu hapa kama utakuwa na kumbukumbu.
Kheee nchi gani hio?Akijibu swali kuhusu uhaba wa walimu katika kipindi cha maswali kwa waziri leo bungeni, Mhe. Kassim Majaliwa amesema serikali inatambua tatizo la uhaba wa walimu mashuleni ndio maana wiki mbili zilizopita serikali imesambaza jumla ya walimu 5000 katika shule mbali mbali nchini.
Tuendelee kujifukiza mkuu Hizi ajira zina wenyeweJuzi kati hapo nmewauliza tamisemi hili swala la ajira za siri siri nikajibiwa hakuna utaratibu kama huo, ajira zote hutangazwa katika tovuti ya tamisemi, sasa nashangaa eti PM anasema tayari🤣🤣🤣 ama kweli, heeeee, we gooooo as usual 🤣🤣🤣🤣
Tuendelee kujifukiza mkuu Hizi ajira zina wenyewe
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Unaweza ukahisi kama kuna mazingaombwe jinsi nchi inavyoendeshwa.