Trainee
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 3,118
- 4,238
Wewe bwana acha uongo... ajira za walimu hazina usaili ni ukishaomba unachaguliwa moja kwamoja kutoka TAMISEMI siyo kama ajira zile za UTUMISHIHujui tu na maanisha nini ,kuna watu ni waalimu wetu tuition tunakutana nao kwenye usaili tunawaacha hawajapata kazi kwa kufail usaili kisa yeye kamaliza 2014 Mimi 2019 na chuo nimesoma fani kama yake ,yeye kashasahau vitu kibao
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app