Duh hii kaliAkijibu swali kuhusu uhaba wa walimu katika kipindi cha maswali kwa waziri leo bungeni, Mhe. Kassim majaliwa amesema serikali inatambua tatizo la uhaba wa walimu mashuleni ndio maana wiki mbili zilizopita serikali imesambaza jumla ya walimu 5000 katika shule mbali mbali nchini.
Wamesambazwa Nchini wapi huko? Uongo mwingine unaleta kinyaa.Akijibu swali kuhusu uhaba wa walimu katika kipindi cha maswali kwa waziri leo bungeni, Mhe. Kassim majaliwa amesema serikali inatambua tatizo la uhaba wa walimu mashuleni ndio maana wiki mbili zilizopita serikali imesambaza jumla ya walimu 5000 katika shule mbali mbali nchini.
Mbona kimya kimyaSio mazingaombwe hata huku niliko shule jirani kuna mwalimu mpya amemaliza kuripoti hivi karibuni
Hii naona kuna watu wanarepot kimya kimyaUnaweza ukahisi kama kuna mazingaombwe jinsi nchi inavyoendeshwa
Kwanini zile za kwanza watangaze alafu hizi 5000 watoe kimya kimyaKulikuwa na huo uvumi wa walimu waliojitolea kuajiriwa kimya kimya nahisi ndio hao
Kwanini zile za kwanza watangaze alafu hizi 5000 watoe kimya kimya
Tunaomba clipAkijibu swali kuhusu uhaba wa walimu katika kipindi cha maswali kwa waziri leo bungeni, Mhe. Kassim majaliwa amesema serikali inatambua tatizo la uhaba wa walimu mashuleni ndio maana wiki mbili zilizopita serikali imesambaza jumla ya walimu 5000 katika shule mbali mbali nchini.
Hao walimu 5000 waliajiriwa kwa utaratibu gani? Maana hiyo taarifa ina ukakasi maana kuna wahitimu wa 2015, 2016 na 2017 wamenyimwa ajira tangu magufuli alipoingia madarakani, halafu wanakuja kuajiriwa wale wa 2018!Kuna shule X huku mikoani imemaliza kupokea mwalimu mpya nahisi ni kati ya hao 5000