Ajira za walimu: 5000 wasambazwa kwenye vituo vya kazi wiki mbili zilizopita

Wewe bwana acha uongo... ajira za walimu hazina usaili ni ukishaomba unachaguliwa moja kwamoja kutoka TAMISEMI siyo kama ajira zile za UTUMISHI
 
duh mi nimejitolea mwaka mzima na hakuna kitu nimeamua kuacha upuuzi wa kujitolea kama huna connection kujitolea nikupoteza mda
Bora ulivyoacha mkuu nyie ndo mlikuwa mnafanya shule zionekane hazina uhaba wa walimu
 
Bora ulivyoacha mkuu nyie ndo mlikuwa mnafanya shule zionekane hazina uhaba wa walimu
shda tu kiongozi kulikuwa na kaposho kidogo na ahadi ya kupata kazi ila toka majina ya mwanzo yatoke sikuwahi kurudi tena shule
 
Unakuta imepeleka kila wilaya walimu kumi au watani halafu inasema imeajiri waalimu 5000. Kwanini wasiweke wazi?
 
shda tu kiongozi kulikuwa na kaposho kidogo na ahadi ya kupata kazi ila toka majina ya mwanzo yatoke sikuwahi kurudi tena shule
Umepishana na gari la mshahara, rudi kwa mkuu wa shule umuulize kama alituma jina lako.
 
shda tu kiongozi kulikuwa na kaposho kidogo na ahadi ya kupata kazi ila toka majina ya mwanzo yatoke sikuwahi kurudi tena shule
Kuna shule ya kujitolea malaz chakula unapewa ila unalipwa lak kwa mwez,nkuconect?
 
duh mi nimejitolea mwaka mzima na hakuna kitu nimeamua kuacha upuuzi wa kujitolea kama huna connection kujitolea nikupoteza mda
Msingi au sec barua mliandika kipindi mkiwa shule?
 
Umepishana na gari la mshahara, rudi kwa mkuu wa shule umuulize kama alituma jina lako.
Umepishana na gari la mshahara, rudi kwa mkuu wa shule umuulize kama alituma jina lako

Umepishana na gari la mshahara, rudi kwa mkuu wa shule umuulize kama alituma jina lako.
kama hakutuma ndo connection hzo.hata mkuu ana ndugu zake hawezi.watupa acha nipambane mtaa tu vyeti sio ishu tena
Msingi au sec barua mliandika kipindi mkiwa shule?
secondary , sijaandika barua ila nilikuwa na mkataba TAeSA na sio peke yangu na hakuna aliyechukuliwa
 
Kuna shule ya kujitolea malaz chakula unapewa ila unalipwa lak kwa mwez,nkuconect?
Nyie munaandikaga kirahisi humu alafu ukienda sehemu husika unaambiwa 'We are full'

Ni connect hapo Mku.
 
Hebu tuwe serious, mambo mengine yanaudhi sana. Walioajiriwa mwanzo bado hawajalipwa mishahara then wengine wamesambazwa kimyakimya
 
Hao walimu 5000 waliajiriwa kwa utaratibu gani? Maana hiyo taarifa ina ukakasi maana kuna wahitimu wa 2015, 2016 na 2017 wamenyimwa ajira tangu magufuli alipoingia madarakani, halafu wanakuja kuajiriwa wale wa 2018!
5
 
mimi si mwalimu mpya ila nmebadishiwa kituo cha kazi, ila wanakijiji wanajua me n mpya
 
Wewe binadamu mwongo sana,tangu lini ajira za walimu zimekuwa za interview kwa government schools?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…