KERO Ajira zirudi TAMISEMI tu, huku AJIRA PORTAL ni kupotezeana muda tu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Ngoja niseme kitu.

Mimi nimemaliza chuo 2016. Kilikua kipindi ambacho Late President amesitisha kuajiri so nikasaka connections private nikatulia huko.

Nikaenda interview ya kwanza ya serikali 2022 post ilikua 1 tuliapply watu 300. Miaka 6 tangu nimalize, nimekutana na fresh graduates na wazee kama mimi, na wenye masters kwenye field.

Ila nikapita oral. 50 tukaenda oral. Mwenye uwezo kutuzidi akachukuliwa.

Two years later, miaka 8 tangu nimalize chuo, naenda interview ya pili ya serikali. Tuliapply watu 1900 posts zilikua 5.

Nikapita oral pia.

My point ni kwamba kama darasani ulienda ili uelewe hata ipite miaka mingapi kwenye field yako ukiulizwa kitu huwezi shindwa elewa mtu anataka kujua nini.

Walimu mlizoea kupangiwa vituo. Pambaneni acheni kudeka na kukariri.
 
Walimu walizoea ajira zao za vimemo.,Sasa kwa Psrs mambo ni different.
 
Mkuu oral ipo sawa .. zile write exam NI za kukomoana ..
 
Mkuu oral ipo sawa .. zile write exam NI za kukomoana ..
Unasema written ni za kukomoana kisa ww umefeli hapo kwenye written πŸ˜‚ sasa umejuaje oral ipo sawa wakati hujapita kwenda oral πŸ˜‚
 
Unasema written ni za kukomoana kisa ww umefeli hapo kwenye written πŸ˜‚ sasa umejuaje oral ipo sawa wakati hujapita kwenda oral πŸ˜‚
Mimi nipo kwenye ajira Kitambo sana kabla .. kabla hata hatavya huo mfumo ..nawasemea vijana kinachofanywa si sahihi.. mtu anapimwa uwelewa wa post iliyotangazwa kulingana na JD .. na sio kama alikuwa mzuri kwenye kukariri darasani .. you are asking me Archimedes principle kwa kazi ya kuja kusimamia ujenzi au project fame fulani
 
Yaan sa hivi raha kwel, Mtu akikosa kazi tunajua alifeli interview ila zamani wanasingizia serikal haijatoa ajira
 
Mkuu oral ipo sawa .. zile write exam NI za kukomoana ..
Zipo ndani ya field ya anayeulizwa au ndiyo kwanza anaona siku hiyo hayo maneno?

Mleta uzi analalamika kwanini aulizwe kitu alisoma miaka 10 nyuma. Ingawa ni field yake
 
Zirudi TAMISEMI ili serikali iendelee kuajiri watu wasio na sifa?
 
Wewe ni Mnufaika wa mifumo mibovu ya CCM. Kaa tu Kwa kutulia
 
Umefeli ww unaanza kuwasingizia ccm πŸ˜‚ kwan kwenye usaili walikuja wamevaa nguo za chama?
Nani amefail wewe? Nalaumu mfumo wa hovyo wa Ma CCM.
Yaaani tuna mifumo ya hovyo kweli kweli kama taifa. Ina favour wenye nacho
 
Wewe ni Mnufaika wa mifumo mibovu ya CCM. Kaa tu Kwa kutulia
Tunataka kuokoa taifa.

Ilifika hatua Mwanafunzi anaenda form one hajui kusoma wala kuandika kumbe tatizo ni Walimu.

Mwalimu unapataje zero (0) miaka yote shuleni hadi chuoni ulikuwa unafanya nini sasa?

Huwezi kufundisha wanafunzi wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…