Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo hakuna kuninyonga wala kuongeaSasa Wabongo kabla hujaongea wanakulisha Maneno, Sasa ukiongea si ndio wanakusambaza kabisa.
Kwa Mimi hapana kwakweli nitakabiliana na hali zote na hakuna kujinyonga.
Sema mwanaume akipenda huwa ana mapenzi ya kweli[emoji848]Yupo jamaa mmoja alikuwa rafiki yangu nilisoma nae chuo na nishawai kukaa group moja japo mi nilikuwa chairman ila alikuwa mtu yuko active sana nilimkubali ila ishu zake anaficha mpaka ilipobuma .
Ilikuwa ivi jamaa alikuwa na demu wake wanapendana sana na hapo chuo kusema la ukweli kasoma mpaka third year hakuwai hata kutongoza kwa maelezo yake alimpenda demu sana ila mshkaji kwao life la kawaida sana ,kama tegemezi basi kipind tukiwa chuo alikuwa na hustling Sana kila dili yye hata dalali yupo anamake money anatuma kwa bi mother wake na kumuhudumia demu..basi miaka kadhaa mbele baada ya chuo zilitokea ajira akasema hatoenda alikuwa kashaanza biashara na alipiga mwaka mmoja awe kashamuoa demu wake anajulikana mpaka home kwa huyo demu yaani kama kwao maana wote Wana asili moja ni watu wa mbeya ...
Basi jamaa ule mwaka aliyumba kiasi cha kuingia madeni kibao mpaka biashara ikafa ndani ya mwaka mmoja kingine akasema hapo hapo demu alianza kuleta nyodo ,bahati mbaya demu kashaanzisha mahusiano na jamaa mwingine..
Basi washkaji wake wakamsanua kwamba demu kashachumbiwa yeye akajipa moyo labda masnitch ..kumbe kweli mpaka demu kaolewa na jamaa hapa dar harusi kubwa kabisa .,jamaa kaenda home kwa kina demu wakawambia eti kwa nn alikuwa anamchezea na sio kumuoa jamaa akawaeleza zile ishu bado wakamtolea nje maana demu kashaolewa na kweny simu kablockiwa na demu.
No way jamaa alifanya attempt ya kunywa sumu watu wakamuwahi haswa washkaji na ishu wakasema iwe kimya hata mwenyekitu asijue basi jamaa tangu hapo Kawa kama kapumbaa yaani kama kachizisha kimtindo ,kapooza ila demu kashaolewa Kuna kipind vilitulia akawa anapiga dili coz chuo alikuwa na performance nzuri tu sasa akiwa mishe posta ile kashapoteza kama mwaka na kitu tangu ya tukio ,bahati mbaya akakutana na demu yule akiwa na jamaa na demu akiwa na mimba jamaa ilikuwa siku mbaya kwake Tena ile hali ikaanza kumrudia Tena..
Akaona arudi kwao mbeya ila yupo town sasa yuko fresh anapiga ishu zake tu za maana namkubali ni hustler .
Huyo demu hafikirii kitu .. wanawake huwa wanasahu....sema mbele atapata msalaIla nafikiria je yule demu wake anajisikiaje? Naona kama ana hatia kwa kiasi fulani.
Wanawake ni hatar sanaSema mwanaume akipenda huwa ana mapenzi ya kweli[emoji848]
Wanawake waongo sana, eti nakupenda thubutuu anapenda tu hela ako[emoji28]
Kila kitu kinapaswa kwenda kwa vipimo, mizani ikilemea upande mmoja ujue kuna tatizo mbele.“... love is for life but life is not for love”
Tatizo sijui ni nini hapo, kuna watu tunaamini kuendwa ndiyo maisha, wakati shetani mwenyewe hapendi lakini anaishi katika Dunia nzuri ya Mungu.
Rumours has no conclusion,bado haijathibitika kitaalamu ya kwamba alijitoa uhai,uchunguzi makini ufanyike.Tena sio jambo dogo. Lazima kutakua na jambo kubwa lililomsukuma bwana Ngonyani katika dimbwia maamuzi haya
R.I.P , nazani itakuwa alipima mduduJoseph Patrick Ngonyani mkazi wa Kijiji cha Makuyni kilichopo Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro amejiua kwa kujinyonga ikiwa zimebaki siku 29 afunge ndoa.
Uchunguzi wa chanzo cha kifo chake bado unaendelea.
Godlisten Malisa ameandika haya katika ukurasa wake wa Facebook kuhusu kifo cha Joseph Ngonyani (rafiki yake):
Mwezi August mwaka huu ulimvalisha pete mchumba wako na ukatuomba support marafiki zako kwa ajili ya ndoa yenu uliyopanga kuifunga mwezi December mwaka huu. Tulikutakia heri na kuahidi ushirikiano. Lakini leo nimeshtushwa na taarifa ya kifo chako cha ghafla. Nimeambiwa umejinyonga. What a shocking news.!
Rafiki na mdogo wangu #JosephNgonyani nini kimekusukuma kufanya uamuzi huu mgumu namna hii? Zilibaki siku chache tu kuelekea ndoa yako. Itakuaje sasa kwa mchumba wako? Je mipango yote mliyopanga ndio imeishia hapa? Kwanini hukutishirikisha ikiwa kuna jambo gumu uliloshindwa kulimudu? Daah. Just rest in peace bro. Nimeishiwa maneno.!
Wanaume tunapitia mengi sana. Baada ya kuweka taarifa ya dogo #JosephNgonyani kujinyonga, ndugu Mathew Mfinanga ameamua kushare sehemu ya mapito yake. Ni magumu sana, lakini jambo la muhimu tusiache kuongea. Kama unapitia changamoto ukaongea na watu 100 wasipokuelewa, basi kuna mmoja atakuelewa. Na Mungu atamtumia huyo mmoja kubadili story ya maisha yako.
Wanaume wengi hufikia hatua ya kujiua kwa kutokuongea, au kuona wakiongea watakua wamejidhalilisha. Please talk to save ur life. Taarifa ya taasisi ya afya ya akili nchini Marekani (National Institute of Mental Health) inaonesha kuwa 77% ya watu wote wanaojiua ni wanaume. Hizi takwimu zinatisha. Moja ya sababu ya wanaume "kukimbilia" kujiua ni kushindwa kuongea wanapopitia magumu.
Wanawake hawajiui kirahisi kwa sababu wanaongea sana. Katika kuongea kwao wanaweza kupuuzwa au kusaidika, lakini la muhimu wameongea. Kuongea kunapunguza mzigo, kunakupa nafasi ya kufikiria tena, kunakuwezesha kupata mawazo mapya, kunasaidia kujipanga upya. Kujiua ni ubinafsi. Ni kuacha mzigo mkubwa kwa wale waliokua wanakutegemea. Ni kuacha alama ya maumivu yasiyokoma kwa wanao, mke na ndugu zako. Kujiua sio suluhisho. Wanaume tuongee, tuongee, tuongee.!
Mchangiaji mmoja pia ametoa ushuhuda wake kuhusu alivyopitia hali ya sonona (See atached image) :
Nachokupendea mara nyingi wit. comments zako zinakuwa za ukweli.Sema mwanaume akipenda huwa ana mapenzi ya kweli![]()
Wanawake waongo sana, eti nakupenda thubutuu anapenda tu hela ako![]()
Sahih kbsa wabongo michosho sna unamshirikisah had ndugu yako wa damu magumu unayopitia yey anaenda kumuadidhia mke wake kbsaSasa Wabongo kabla hujaongea wanakulisha Maneno, Sasa ukiongea si ndio wanakusambaza kabisa.
Kwa Mimi hapana kwakweli nitakabiliana na hali zote na hakuna kujinyonga.
Kiiinggg kuwa nao makini huko minjingu unapochoma mkaa. Wasije wakakupa mkono wa nyani ngwengwe nakukumalizia hela zako zote.Chanzo cha mabaya ni PESA na WASICHANA chunga sana alishasema Salu T.
Ww ni graduate unashindwa hata kuandika kitu kinachoeleweka??Yupo jamaa mmoja alikuwa rafiki yangu nilisoma nae chuo na nishawai kukaa group moja japo mi nilikuwa chairman ila alikuwa mtu yuko active sana nilimkubali ila ishu zake anaficha mpaka ilipobuma .