Ajiua kwa kujinyonga siku chache kabla ya harusi yake

Sasa Wabongo kabla hujaongea wanakulisha Maneno, Sasa ukiongea si ndio wanakusambaza kabisa.

Kwa Mimi hapana kwakweli nitakabiliana na hali zote na hakuna kujinyonga.
Kwahiyo hakuna kuninyonga wala kuongea
 
Sema mwanaume akipenda huwa ana mapenzi ya kweli[emoji848]

Wanawake waongo sana, eti nakupenda thubutuu anapenda tu hela ako[emoji28]
 
Kuna matukio yanasikitisha na kuumiza. Hatujui alipitia mangapi ila yote kwa yote apumzike kwa amani.
 
β€œ... love is for life but life is not for love”
Tatizo sijui ni nini hapo, kuna watu tunaamini kupendwa ndiyo maisha, wakati shetani mwenyewe hapendwi lakini anaishi katika Dunia nzuri ya Mungu.
 
β€œ... love is for life but life is not for love”
Tatizo sijui ni nini hapo, kuna watu tunaamini kuendwa ndiyo maisha, wakati shetani mwenyewe hapendi lakini anaishi katika Dunia nzuri ya Mungu.
Kila kitu kinapaswa kwenda kwa vipimo, mizani ikilemea upande mmoja ujue kuna tatizo mbele.
 
R.I.P , nazani itakuwa alipima mdudu
 
Sema mwanaume akipenda huwa ana mapenzi ya kweli

Wanawake waongo sana, eti nakupenda thubutuu anapenda tu hela ako
Nachokupendea mara nyingi wit. comments zako zinakuwa za ukweli.
Ila nasubiri siku ambayo utageukia mbele kwenye hiyo avatar yako (Kama Ni wewe huyo); hapo utakuwa umedhihirisha ukweli ako.πŸ™‡πŸ€­
 
Sasa Wabongo kabla hujaongea wanakulisha Maneno, Sasa ukiongea si ndio wanakusambaza kabisa.

Kwa Mimi hapana kwakweli nitakabiliana na hali zote na hakuna kujinyonga.
Sahih kbsa wabongo michosho sna unamshirikisah had ndugu yako wa damu magumu unayopitia yey anaenda kumuadidhia mke wake kbsa

Nilikereka Sana siku moja namuambia kak angu ishu zangu yey kazipeleka had kwa mke wake dah nilijuta kusema yaani

Mwingine magumu yako unamuambia lkn anazbaa Zaid unashanga ripoti zako zina fuja

Bas tu mm sisemi Wala nn na hkuna kujiua nijiue niwaachie yanga Nani[emoji1]
 
Wazee hili laifu sio poa hasa ukiwa mzaliwa wa kwanza...kwa kifupi mimi pia napita hardtime sana

Sina kazi (jobless)

Kodi yangu inaisha December (kichwa kinauma machozi yanatoka)

Umri umesogea miaka 26 mates wenzangu wengi wana maisha na darasani nilikuwa bora kuliko wao.nimeomba makazi ya majeshi yote mwaka jana mpka nimekataa tamaa

Kula yangu mzozo,unaumwa ila unapona kwa nguvu za Mungu...

Kushinda week mfukoni huna mia ni kawaida

Kwa kifupi depression is real ukiona unaaamka unakula unavaa mshukuru Mungu

Mungu anisaidie nivuke salama nakiri sometimes najifikiriaga sana kujipoteza(kujitoa uhai) sema namuonea huruma mama na madogo zangu.
 
Ww ni graduate unashindwa hata kuandika kitu kinachoeleweka??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…