Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Mimi na wewe nan ambaye ni smart ? Hujaelewa nn au shobo tu!!Ww ni graduate unashindwa hata kuandika kitu kinachoeleweka??
We ndo mke wa Mr. Liverpool?Ww ni graduate unashindwa hata kuandika kitu kinachoeleweka??
Si Bora wewe Kaka yakoSahih kbsa wabongo michosho sna unamshirikisah had ndugu yako wa damu magumu unayopitia yey anaenda kumuadidhia mke wake kbsa
Nilikereka Sana siku moja namuambia kak angu ishu zangu yey kazipeleka had kwa mke wake dah nilijuta kusema yaani
Mwingine magumu yako unamuambia lkn anazbaa Zaid unashanga ripoti zako zina fuja
Bas tu mm sisemi Wala nn na hkuna kujiua nijiue niwaachie yanga Nani[emoji1]
Pole sana ndugu.Wazee hili laifu sio poa hasa ukiwa mzaliwa wa kwanza...kwa kifupi mimi pia napita hardtime sana
Sina kazi (jobless)
Kodi yangu inaisha December (kichwa kinauma machozi yanatoka)
Umri umesogea miaka 26 mates wenzangu wengi wana maisha na darasani nilikuwa bora kuliko wao.nimeomba makazi ya majeshi yote mwaka jana mpka nimekataa tamaa
Kula yangu mzozo,unaumwa ila unapona kwa nguvu za Mungu...
Kushinda week mfukoni huna mia ni kawaida
Kwa kifupi depression is real ukiona unaaamka unakula unavaa mshukuru Mungu
Mungu anisaidie nivuke salama nakiri sometimes najifikiriaga sana kujipoteza(kujitoa uhai) sema namuonea huruma mama na madogo zangu.
Msomi gani wewe unaandika kiswahili cha kihuni kwenye issue serious ????Yupo jamaa mmoja alikuwa rafiki yangu nilisoma nae chuo na nishawai kukaa group moja japo mi nilikuwa chairman ila alikuwa mtu yuko active sana nilimkubali ila ishu zake anaficha mpaka ilipobuma .
Ilikuwa ivi jamaa alikuwa na demu wake wanapendana sana na hapo chuo kusema la ukweli kasoma mpaka third year hakuwai hata kutongoza kwa maelezo yake alimpenda demu sana ila mshkaji kwao life la kawaida sana ,kama tegemezi basi kipind tukiwa chuo alikuwa na hustling Sana kila dili yye hata dalali yupo anamake money anatuma kwa bi mother wake na kumuhudumia demu..basi miaka kadhaa mbele baada ya chuo zilitokea ajira akasema hatoenda alikuwa kashaanza biashara na alipiga mwaka mmoja awe kashamuoa demu wake anajulikana mpaka home kwa huyo demu yaani kama kwao maana wote Wana asili moja ni watu wa mbeya ...
Basi jamaa ule mwaka aliyumba kiasi cha kuingia madeni kibao mpaka biashara ikafa ndani ya mwaka mmoja kingine akasema hapo hapo demu alianza kuleta nyodo ,bahati mbaya demu kashaanzisha mahusiano na jamaa mwingine..
Basi washkaji wake wakamsanua kwamba demu kashachumbiwa yeye akajipa moyo labda masnitch ..kumbe kweli mpaka demu kaolewa na jamaa hapa dar harusi kubwa kabisa .,jamaa kaenda home kwa kina demu wakawambia eti kwa nn alikuwa anamchezea na sio kumuoa jamaa akawaeleza zile ishu bado wakamtolea nje maana demu kashaolewa na kweny simu kablockiwa na demu.
No way jamaa alifanya attempt ya kunywa sumu watu wakamuwahi haswa washkaji na ishu wakasema iwe kimya hata mwenyekitu asijue basi jamaa tangu hapo Kawa kama kapumbaa yaani kama kachizisha kimtindo ,kapooza ila demu kashaolewa Kuna kipind vilitulia akawa anapiga dili coz chuo alikuwa na performance nzuri tu sasa akiwa mishe posta ile kashapoteza kama mwaka na kitu tangu ya tukio ,bahati mbaya akakutana na demu yule akiwa na jamaa na demu akiwa na mimba jamaa ilikuwa siku mbaya kwake Tena ile hali ikaanza kumrudia Tena..
Akaona arudi kwao mbeya ila yupo town sasa yuko fresh anapiga ishu zake tu za maana namkubali ni hustler .
Haya mambo yapo huku kwetu bado tunaamini kuna jambo nyuma ya pazia ukweli sio lazima tumeona huko ulaya watu wana kila kitu anaamua kutoa maisha yake hana deni wala hana shida ana kila kitu. Tumesikia wachezaji mpira wana fanya kampeni kuwa ongea na mtu ukihisi una mzongo wa mawazo. Hii ni mental health issue unakuwa unawaza kupita kiasi huna wa kuongea naye akakusikiliza na mbaya zaidi ukiwa na shida halafu wale watu uliokuwa unadhani ni wa karibu sana na wewe unaona wanakuacha unabaki peke yako haijalishi una nini lakini ukipata mtu wa kukusikiliza unapata relief. Ni bahati mbaya lakini sisi bado hatujaona kama mental health ni issue, mimi kuna kijana namjuwa hakuwa close friend lakini tunajuana vizuri sana kijana kasoma ana kazi nzuri sana alikuwa muongeji kiasi ila kuna wakati tabia zikaanza kubadilika haongei sana wala kuingiliana na watu kuna siku nikaongea naye kuuliza una nini unaumwa au kuna mtu mmegombana akasema hapana nikamwambia kama una jambo ukitaka ongea na mimi au rafiki yako yoyote akasema hakuna kitu, nikaongea na rafiki zake wa karibu sana na wote waliona ile hali lakini hatukuweza kumsaidia kuna siku alipotea akaja kukutwa amefariki baada ya siku mbili kaenda sehemu mbali ka pack gari yake na mwili wake umekutwa chini amefariki was very sad hakuna foul yoyote hatujui kilitokea nini mwili wake ukazikwa baada ya kupewa ruhusa kuwa hakuna jeraha lolote ilikuwa sad hatukuweza kumsaidia mpaka leo hatujui alikuwa na nini mawazo yake maana alikuwa na kazi nzuri na good family.Dah hatari sana ,Kuna jambo nyuma ya pazia
Hahahahaaa najichukulia sheria mkononi tu mkuu.Kiiinggg kuwa nao makini huko minjingu unapochoma mkaa. Wasije wakakupa mkono wa nyani ngwengwe nakukumalizia hela zako zote.
Wanawake hawajiui kirahisi kwa sababu wanaongea sana. Katika kuongea kwao wanaweza kupuuzwa au kusaidika, lakini la muhimu wameongea. Kuongea kunapunguza mzigo, kunakupa nafasi ya kufikiria tena, kunakuwezesha kupata mawazo mapya, kunasaidia kujipanga upya. Kujiua ni ubinafsi. Ni kuacha mzigo mkubwa kwa wale waliokua wanakutegemea. Ni kuacha alama ya maumivu yasiyokoma kwa wanao, mke na ndugu zako. Kujiua sio suluhisho. Wanaume tuongee, tuongee, tuongee.![emoji818][emoji817][emoji1545]Joseph Patrick Ngonyani mkazi wa Kijiji cha Makuyni kilichopo Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro amejiua kwa kujinyonga ikiwa zimebaki siku 29 afunge ndoa.
Uchunguzi wa chanzo cha kifo chake bado unaendelea.
Godlisten Malisa ameandika haya katika ukurasa wake wa Facebook kuhusu kifo cha Joseph Ngonyani (rafiki yake):
Mwezi August mwaka huu ulimvalisha pete mchumba wako na ukatuomba support marafiki zako kwa ajili ya ndoa yenu uliyopanga kuifunga mwezi December mwaka huu. Tulikutakia heri na kuahidi ushirikiano. Lakini leo nimeshtushwa na taarifa ya kifo chako cha ghafla. Nimeambiwa umejinyonga. What a shocking news.!
Rafiki na mdogo wangu #JosephNgonyani nini kimekusukuma kufanya uamuzi huu mgumu namna hii? Zilibaki siku chache tu kuelekea ndoa yako. Itakuaje sasa kwa mchumba wako? Je mipango yote mliyopanga ndio imeishia hapa? Kwanini hukutishirikisha ikiwa kuna jambo gumu uliloshindwa kulimudu? Daah. Just rest in peace bro. Nimeishiwa maneno.!
Wanaume tunapitia mengi sana. Baada ya kuweka taarifa ya dogo #JosephNgonyani kujinyonga, ndugu Mathew Mfinanga ameamua kushare sehemu ya mapito yake. Ni magumu sana, lakini jambo la muhimu tusiache kuongea. Kama unapitia changamoto ukaongea na watu 100 wasipokuelewa, basi kuna mmoja atakuelewa. Na Mungu atamtumia huyo mmoja kubadili story ya maisha yako.
Wanaume wengi hufikia hatua ya kujiua kwa kutokuongea, au kuona wakiongea watakua wamejidhalilisha. Please talk to save ur life. Taarifa ya taasisi ya afya ya akili nchini Marekani (National Institute of Mental Health) inaonesha kuwa 77% ya watu wote wanaojiua ni wanaume. Hizi takwimu zinatisha. Moja ya sababu ya wanaume "kukimbilia" kujiua ni kushindwa kuongea wanapopitia magumu.
Wanawake hawajiui kirahisi kwa sababu wanaongea sana. Katika kuongea kwao wanaweza kupuuzwa au kusaidika, lakini la muhimu wameongea. Kuongea kunapunguza mzigo, kunakupa nafasi ya kufikiria tena, kunakuwezesha kupata mawazo mapya, kunasaidia kujipanga upya. Kujiua ni ubinafsi. Ni kuacha mzigo mkubwa kwa wale waliokua wanakutegemea. Ni kuacha alama ya maumivu yasiyokoma kwa wanao, mke na ndugu zako. Kujiua sio suluhisho. Wanaume tuongee, tuongee, tuongee.!
Mchangiaji mmoja pia ametoa ushuhuda wake kuhusu alivyopitia hali ya sonona (See atached image) :
Kajikatia tamaa, kama aliachwa ama alijua kitu kuhusu mke mtarajiwa angemuacha tu
Yupo jamaa mmoja alikuwa rafiki yangu nilisoma nae chuo na nishawai kukaa group moja japo mi nilikuwa chairman ila alikuwa mtu yuko active sana nilimkubali ila ishu zake anaficha mpaka ilipobuma .
Ilikuwa ivi jamaa alikuwa na demu wake wanapendana sana na hapo chuo kusema la ukweli kasoma mpaka third year hakuwai hata kutongoza kwa maelezo yake alimpenda demu sana ila mshkaji kwao life la kawaida sana ,kama tegemezi basi kipind tukiwa chuo alikuwa na hustling Sana kila dili yye hata dalali yupo anamake money anatuma kwa bi mother wake na kumuhudumia demu..basi miaka kadhaa mbele baada ya chuo zilitokea ajira akasema hatoenda alikuwa kashaanza biashara na alipiga mwaka mmoja awe kashamuoa demu wake anajulikana mpaka home kwa huyo demu yaani kama kwao maana wote Wana asili moja ni watu wa mbeya ...
Basi jamaa ule mwaka aliyumba kiasi cha kuingia madeni kibao mpaka biashara ikafa ndani ya mwaka mmoja kingine akasema hapo hapo demu alianza kuleta nyodo ,bahati mbaya demu kashaanzisha mahusiano na jamaa mwingine..
Basi washkaji wake wakamsanua kwamba demu kashachumbiwa yeye akajipa moyo labda masnitch ..kumbe kweli mpaka demu kaolewa na jamaa hapa dar harusi kubwa kabisa .,jamaa kaenda home kwa kina demu wakawambia eti kwa nn alikuwa anamchezea na sio kumuoa jamaa akawaeleza zile ishu bado wakamtolea nje maana demu kashaolewa na kweny simu kablockiwa na demu.
No way jamaa alifanya attempt ya kunywa sumu watu wakamuwahi haswa washkaji na ishu wakasema iwe kimya hata mwenyekitu asijue basi jamaa tangu hapo Kawa kama kapumbaa yaani kama kachizisha kimtindo ,kapooza ila demu kashaolewa Kuna kipind vilitulia akawa anapiga dili coz chuo alikuwa na performance nzuri tu sasa akiwa mishe posta ile kashapoteza kama mwaka na kitu tangu ya tukio ,bahati mbaya akakutana na demu yule akiwa na jamaa na demu akiwa na mimba jamaa ilikuwa siku mbaya kwake Tena ile hali ikaanza kumrudia Tena..
Akaona arudi kwao mbeya ila yupo town sasa yuko fresh anapiga ishu zake tu za maana namkubali ni hustler
Usikate tamaa endelea kupambana,usichague kaz.Wazee hili laifu sio poa hasa ukiwa mzaliwa wa kwanza...kwa kifupi mimi pia napita hardtime sana
Sina kazi (jobless)
Kodi yangu inaisha December (kichwa kinauma machozi yanatoka)
Umri umesogea miaka 26 mates wenzangu wengi wana maisha na darasani nilikuwa bora kuliko wao.nimeomba makazi ya majeshi yote mwaka jana mpka nimekataa tamaa
Kula yangu mzozo,unaumwa ila unapona kwa nguvu za Mungu...
Kushinda week mfukoni huna mia ni kawaida
Kwa kifupi depression is real ukiona unaaamka unakula unavaa mshukuru Mungu
Mungu anisaidie nivuke salama nakiri sometimes najifikiriaga sana kujipoteza(kujitoa uhai) sema namuonea huruma mama na madogo zangu.
Dini yangu inasema kujiua ni adhabu ya moto moja kwa mojaDini zinasemaje kuhusu mtu alieondoka kwa kujinyonga, kuna kupumzika kweli?
Hata hizo kazi za kuchagua hakuna.Usikate tamaa endelea kupambana,usichague kaz.
Labda nikutie moyo tu, nioneshe tajiri mmoja tu Africa mwenye umri kama wako ambaye utajiri wake sio wa kurithi.Wazee hili laifu sio poa hasa ukiwa mzaliwa wa kwanza...kwa kifupi mimi pia napita hardtime sana
Sina kazi (jobless)
Kodi yangu inaisha December (kichwa kinauma machozi yanatoka)
Umri umesogea miaka 26 mates wenzangu wengi wana maisha na darasani nilikuwa bora kuliko wao.nimeomba makazi ya majeshi yote mwaka jana mpka nimekataa tamaa
Kula yangu mzozo,unaumwa ila unapona kwa nguvu za Mungu...
Kushinda week mfukoni huna mia ni kawaida
Kwa kifupi depression is real ukiona unaaamka unakula unavaa mshukuru Mungu
Mungu anisaidie nivuke salama nakiri sometimes najifikiriaga sana kujipoteza(kujitoa uhai) sema namuonea huruma mama na madogo zangu.
Apia kabisa [emoji14][emoji14]Nachokupendea mara nyingi wit. comments zako zinakuwa za ukweli.
Ila nasubiri siku ambayo utageukia mbele kwenye hiyo avatar yako (Kama Ni wewe huyo); hapo utakuwa umedhihirisha ukweli ako.[emoji144][emoji2960]