Akaunti ya Instagram ya mange Kimambi yapotea hewani; yarudi hewani baada ya masaa kadhaa

Status
Not open for further replies.
Wewe kahaba uwe unatuelewa tuliokupita shule, sasa account yake ipo hewani. Fuckn moron
Muulizeni what happened kama atawajibu,na kuwa hewani siyo kwamba yeye ndo anayo.
 
Me napendaga tu vile unaandika kwa kujiamini na kujifanya unajua mengi kumbe ni NGUMBARU kabisa
 
Anajifanya ana akili, mbinu na ujanja wakati kumbe ni mweupe tu mbele ya wanaojua majukumu / kazi zao walizozibobea kisawasawa.
hajifanyi mkuu yule ana akili nyingi kufunga account yake sio kufunga kinywa chake wala upeo wake mkuu.over
 
Ule mtego shauri yenu,nyie mtumieni tu na hide my ID mtakiona cha mtema kuni.
Mbona iko hewani? Au kufutwa ina maana gani kwako. Pia it's easy to have more than one page on one device.
 
Binafsi Mange simpendi kwa kuwa anatukana Viongozi hovyo
Mimi nampenda sana Mange,tatizo ukikomenti right kabisa ila sivyo anavyotaka yeye anakublock.Kuna habari za ukweli na za uongo pia huwa anapost.Ila mwisho wake umefika.
 
Hivi ukisema uongo hivyo ndio unajisikia amani au unalipwa kwa uongo. Kwani ukisema ukweli utapata hasara gani? Mbona akaunti ipo hewani kama kawa na inafanya kazi. Ukweli wake unakuuma au. Ukiona unakuuma fanyia kazi ndio pana tatizo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…